1.Amezaliwa Alhamisi
2.Akachukua fomu ya urais Alhamis
3. Akatangazwa msindi Alhamisi
4. Akaapishwa Alhamis
5. Akatangaza jina la waziri mkuu siku ya Alhamis
6. Akatangaza baraza la mawaziri Alhamisi
TAFAKARI KUNANI ALHAMISI?
CHANZO: NIPASHE
Mkubwa tatizo kubwa la sisi wa tanzania nikiwemo, Tukisikia unapewa nyumba bure, gari bure, matibabu bure, kupiga simu bure, trips kibao tunachachawa baadaye tunakuja kufa masikini kisa kukaa kwenye mijumba na anasa nyingi baadaye kifo cha mende. Mzee naona umepagawa na mabo ya hichi bure kile...
SOURCE NI JAMII FORUM? WEJAMAA CHIZII NINI? that is what you have just write guy THIS IS MY VIEW, NIPE AKILI YA KUFANYA SIYO HIVYO NINA AKILI TIMAMU MKUBWA?
Hey! this is not crazy things like that you have said that" We jamaa chizi" no! kama hutaki kwenda moshi it is up 2 you guy ila habari ndiyo hiyo mzeiya. Na pia niwapo katika JF kama wachakarikaji yapasa tuchangie na tupeane mawazo yenye akili siyo kuitana machizi kwani umesikia waanzilishi wa...
Jamani tuwe makini hii rushwa tunayo ipewa huku mijini tuurumie na wakazi wa mkalama moshi- hai ambao wanateswa na muwekezaji ambaye alidiriki kuwafungia daraja lao la kuvuka ambao ndiyo wanalitegemea hilohilo kuziendea huduma muhimu. Muwekezaji huyo bw. Brutland peter ambaye hudiriki hadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.