Recent content by FGL

  1. F

    Udini kwenye baadhi ya taasisi za serikali

    Upo sahihi Sent using Jamii Forums mobile app
  2. F

    Udini kwenye baadhi ya taasisi za serikali

    Hayo ni maoni yako, yanaheshimiwa kama yalivyo maoni ya watu wengine. Ushauri wa bure ni kwamba jitoe kwenye JF iwapo unaona ina watu wenye cheap mind. Itashangaza upo kwenye media moja na watu wenye cheap mind na unatoa mawazo yako kwao. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. F

    Udini kwenye baadhi ya taasisi za serikali

    Ni uteuzi siyo ajira. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. F

    Udini kwenye baadhi ya taasisi za serikali

    Ndiyo wanachofanya TIRA sasa hivi. Mtu hana sifa lakini anapewa cheo ambacho hana vigezo navyo. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. F

    Udini kwenye baadhi ya taasisi za serikali

    Ni kweli. Inasimamia sekta ya Bima na inaitwa TIRA. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. F

    Udini kwenye baadhi ya taasisi za serikali

    Issue siyo kuteuliwa bro, basi wawe na vigezo. Sasa hata vigezo hawana. Ndiyo maana nimesema kuwa kigezo ni udini. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. F

    Udini kwenye baadhi ya taasisi za serikali

    Mh. Rais Magufuli namuomba atembelee Mamlaka ya Usimamizi wa shughuli za Bima kwa kiingereza Tanzania Insurance Regulatory Authority aone mkurugenzi mkuu aliyemteua anavyofanza teuzi ndani ya ofisi kwa misingi ya kidini. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom