Recent content by fezaboy

  1. F

    JamiiForums Tanzania Nabii M. Thomas: Lowassa atashinda uchaguzi mkuu wa Oktoba, Tanzania

    endeleeni kuota
  2. F

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Subirini ushindi wa Tsunami

    hii imekaa njema
  3. F

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Subirini ushindi wa Tsunami

    Kama heading iliovyotangulia naona ushindi mkubwa sana katika uchaguzi huo,DHIDI YA VYAMA PINZANI TZ na sababu kubwa ni kwamba; 1. CCM inahazina kubwa ya washabiki lukuki wasomi,wataalamu wa siasa 'wazee,vijana wa kati wenye ajira za kudumu na wachache wasio na ajira rasmi...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

    mkusanyiko wa chama KUBWA CCM
  5. F

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dr. Magufuli jimboni Chato, Geita - Septemba 20, 2015

    siasa za USHABIKI:A S shade::A S shade:
  6. F

    JamiiForums Tanzania Viongozi Wakuu wa NCCR - Mageuzi Watoa Tamko, Waikosoa UKAWA

    huwezi kumjua kwa kuwa hayakuhusu
  7. F

    JamiiForums Tanzania Lowassa Afunika Iringa

    sidhan kama UKAWA TUTASHINDA JESHI la mtu mmoja haliwezi pundua majeshi matatu
  8. F

    JamiiForums Tanzania Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

    CCM LAZIMA ISHINDE VITI kibao vha udiwani ,ubunge na hatimae kuingia magogoni ndung john pombe tumejiaanda miaka 10 kwa jambo hilo na ni jadi yetu. ukawa week mbili mnataka ikulu labda ya monduli...wajanja walishasepa hawataki aibu dr slaa prof lipumba #tukutane october
  9. F

    JamiiForums Tanzania Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

    katiba sio swala la chama ni swala la nchi acha ushabiki
  10. F

    JamiiForums Tanzania John Mnyika acha kudharau elimu ya Tanzania

    mnyika umenena vema,nchi hii bado hatujajitambua labda hadi mwaka 2100:A S confused::A S confused:
  11. F

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole ni nani?

    pole pole kwa serikali ijayo awe waziri mkuu inchi itasonga mbele
  12. F

    JamiiForums Tanzania tukutane 25 OCTOBER 2015

    wakati tukijiandaa kwa uchaguzi mkuu TZ, huku migawanyiko na utengano ndani ya vyama vya siasa ikishika kasi kwa kasi ya ajabu tuache projo za mitandaoni na tuache kupigana vijembe bali tutunze shahada zetu za kupiga kura kumpata KIONGOZI BORA na sio USHABIKI WA KISIASA TUNAJENGA NCHI MOJA...
Back
Top Bottom