Recent content by feti

  1. F

    JamiiForums Tanzania Kwa nini nyama choma nyingi bongo ni ngumu sana?

    Si unaona nyama inavyoandaliwa?huku hongo hatujui kuchoma nyama nenda burundi ukaone nyama inavyoandaliwa.
  2. F

    JamiiForums Tanzania Najiuliza tu; hivi katiba mpya ikiandikwa, siasa na sera za majukwaani zitakuwa nini?

    Kujenga uchumi imara na jumuishi ambao utatuwezesha kuwa na miundombinu bora na imara.tutaondosha wizi,upendeleo,uchakachuaji na mengineyo
  3. F

    JamiiForums Tanzania Kenya Kununua Magunia Milioni 11 ya Mahindi kutoka Zambia Kwa bei Kubwa na Kuikacha Tanzania Yenye Mahindi Mengi ya Bei Chee.

    Mahindi mengi tz yananunuliwa na wafanyabiashara wa wadogo na wa kati.najua wengi humu hawajashika jembe wala kupitia lazima hii ya kilimo.maghala ya nfra yameanza kujengwa vijijini juzi tu kabla ya hapo mnajua nani alikuwa akienda kununua mahindi hayo vijijini?mkisema serikali ndo mnunuzi...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Kenya Kununua Magunia Milioni 11 ya Mahindi kutoka Zambia Kwa bei Kubwa na Kuikacha Tanzania Yenye Mahindi Mengi ya Bei Chee.

    Watapita drc tuone hao wananchi wao watanunua kwa bei gani.tit for tat.
  5. F

    JamiiForums Tanzania CHADEMA’S HECHE FACES GROWING BACKLASH OVER POSTPONED COUNCIL MEETING

    Kwani shida ni nini!kuahirisha mkutano kwangu mimi si tatizo.swala kwamba fedha zimetumika vibaya nayo siyo hoja.fedha hazijatumika bali kikao kimeahirishwa till further notice .anayetakiwa kujustify kama fedha imetumika vibaya ni msajiri wa vyama sababu vyama vyote huwa vinakaguliwa japo hakuna...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Miujiza Nepal; Sanamu ya Budha yabaki imesimama imara katikati ya Mafuriko makubwa!

    Architectural designing.
  7. F

    JamiiForums Tanzania Kenya Kununua Magunia Milioni 11 ya Mahindi kutoka Zambia Kwa bei Kubwa na Kuikacha Tanzania Yenye Mahindi Mengi ya Bei Chee.

    Bro ccm n Ndugu mchawi ni ccm hizo ndo biashara zao ndo maana ukigusa tu swala la katiba wewe ni adui namba moja.
  8. F

    JamiiForums Tanzania Kenya Kununua Magunia Milioni 11 ya Mahindi kutoka Zambia Kwa bei Kubwa na Kuikacha Tanzania Yenye Mahindi Mengi ya Bei Chee.

    Kenya ni adui namba kibiashara Afrika mashariki na kati.kenya si jirani mwema hata kidogo wanawachukulia sana watz.mahindi wamejazana hapa ruvuma kilo ni 370 tshs wao wanaturuka wanaenda zambia!sisi watu weusi roho zetu nyeusi kama tulivyo.
  9. F

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi kumuwakilisha Rais Samia katika mkutano wa 65 wa Nchi zisizofungamana na upande wowote(NAM)

    Non alignment haina mashiko tena hata hivyo vikao havina maana yoyote
  10. F

    JamiiForums Tanzania Fatuma Karume na Zitto Kabwe sasa hivi mko kimya

    Hao ndo wale wafia dini.ni watu hatari sana hao.
  11. F

    JamiiForums Tanzania John Heche:Je Betting itaondoa umaskini kwa vijana?

    Betting ni janga lingine kwa vijana.sijawahi kusikia mtu kutajirika kwa betting.
  12. F

    JamiiForums Tanzania Vuguvugu la kudai Tanganyika huru linanukia?

    Mimi sipendi hata hizo serikali tatu nataka moja tu au muungano ufe kabisa kila mtu ajitegemee kivyake.
  13. F

    JamiiForums Tanzania Meli ya mafuta yawaka moto Bandari ya Kigoma

    Chanzo ni wakati wanaiwasha ilitoa cheche za moto na kusababisha moto kuwaka.inasadikiwa mtu mmoja kapoteza màisha na bado hajatambuliwa.
  14. F

    JamiiForums Tanzania UTABIRI: Ndejembi kuwa Rais wa awamu ya 7 kabla ya 2030

    Mpambanieni mtakuja kulia nusu ya wabunge watafyekwa kama nyasi.2030 siyo rahisi ndo maana ameanza timua timua.hali si shwari huku uraiani.watu tumepigika na maisha,biashara kila kukicha zinafungwa wewe unaleta mzaha.tuombe Mungu tukutane 2030.
Back
Top Bottom