Recent content by Festo kayombo

  1. F

    JamiiForums Tanzania Nape: CHADEMA wamepewa fedha na wazungu kuvuruga mchakato wa katiba

    Nape sisi si wajinga, kwa taarifa yako we ndiye mjinga na mchonganishi kama mwanamke, hongera sana kwa kujitahid kupotosha umma jinga kubwa we.
  2. F

    JamiiForums Tanzania Kumekucha Madawa ya Kulevya: Kina 'Masogange' wawataja waliowatuma!

    Hiyo ndiyo TANZANIA na viongozi wauza unga.
  3. F

    JamiiForums Tanzania Presidents Kagame and Kikwete hold talks on the sidelines of the ICGLR Summit - Kampala

    Ha2jui waliyoongea huko, tuangalie matokeo yake kwa kupunguza kodi ya malori.
  4. F

    JamiiForums Tanzania Huyu ndo mtoto aliyeolewa akiwa na miaka nane tu: Rasimu ya Katiba imebainisha umri wa mtoto?

    Dada hongera sana! lakini huu unyanyasaji wa kijinsia, watu wa ustawi wa jamii wapo wap?
  5. F

    JamiiForums Tanzania Huyu ndo mtoto aliyeolewa akiwa na miaka nane tu: Rasimu ya Katiba imebainisha umri wa mtoto?

    Una uhakika? ucje uka2danganya maana c c wa2o2o? na je we kweli ni injinia? na matenki uliojenga yako wapi??
  6. F

    JamiiForums Tanzania Vituko Bungeni: Jibu lakataliwa kabla ya kutolewa...

    Huo ndio utani wa nchi yetu, na cjui tunajenga au tunabomoa.
  7. F

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi wa kituo cha Oysterbay mbaroni kwa ujambazi

    Hatujui hata tunakoelekea Tanzania inasikitisha kwa kweli.
  8. F

    JamiiForums Tanzania JK: CCM Tujiandae kisaikolojia muundo wa serikali tatu

    Mapinduz hayo.
  9. F

    JamiiForums Tanzania Kabla hujaanza kuzunguka na bahasha soma hapa

    Jaman kwan kuna chuo chochote cha uzoefu?
  10. F

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Rais yadaiwa kubebea mkaa, mihogo...

    Hello! c wanakaa kimya!
Back
Top Bottom