Recent content by Fermi

  1. F

    JamiiForums Tanzania The NWO is up and ready!

    Kiongozi sidhani kama umeelewa point yangu. Naomba usome tena angalia msisitizo niliotoa kwa nchi zinazozalisha hiyo chanjo ambazo hazikai meza moja na western countries.That is my point
  2. F

    JamiiForums Tanzania The NWO is up and ready!

    Kiongozi hiyo habari siyo ya kweli.Mimi nipo karibu sana na Canada na nina jamaa zangu wengi tu Canada.Kuna wafanyakazi wenzangu wanafanya kazi remotely from canada na tunaongea nao kila siku. Na hicho ulichobandika hapo hakina juu wala chini. Kiongozi hebu fikiria hii kitu kwa akili ya kawaida...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Tanzania yadhibiti mfumuko wa bei

    Point muhimu ni hiyo ya mwisho hapo,acha blah blah zako.Unapoweka inflation tuambie basi kama income imepanda na kama imepanda au imeshuka. Uweke uhusiano wa income na inflation.
  4. F

    JamiiForums Tanzania Huu ni mwaka wa kusafiri sana kuifaidi dunia

    Pamoja kiongozi
  5. F

    JamiiForums Tanzania Huu ni mwaka wa kusafiri sana kuifaidi dunia

    Kiongozi hapo juu umemlaumu mdau kwa kutumia lugha isiyo ya kistaarabu.Hapa wewe unaita binadamu wenzio "mijitu" nilidhani wewe unayekosoa watumia lugha isiyioya kistaarabu,utakuwa mfano lakini naona kama sivyo.
  6. F

    JamiiForums Tanzania The NWO is up and ready!

    Kiongozi ni mambo ninayoyafahamu toka zamani mnoo,nayafahamu kabla ya 5G rollout.
  7. F

    JamiiForums Tanzania The NWO is up and ready!

    Mkuu umesoma content lakini ? Hiyo ni kitu ilikuwa inajulikana tangu zamani sana.Angalia ni 5G band gani na maeneo gani ambayo wameahirisha kuanza kutumia na kwa nini wamefanya hivyo.
  8. F

    JamiiForums Tanzania The NWO is up and ready!

    Mkuu mimi nipo huku USA miaka mingi mno,vyakula kukosekana super market ni stori za vijiweni tu,Biden kashinda vizuri tu ndo maana hata republican walivyofanya auditing mfano Arizona hawakukuta wizi wowote wa kura.Mkuu ni vyema twende na facts kuliko conspiracy theories. Kama unasema Biden ana...
  9. F

    JamiiForums Tanzania The NWO is up and ready!

    Lakini kiongozi kwenye ile ID yako nyingine kuna mengi sana ulisema kuhusu Biden akichuka madaraka,mbona hatuyaoni ? Wewe ulitarajia na kutoa links kadhaa kuwa Trump ataendelea kuwa president imekuwaje ?
  10. F

    JamiiForums Tanzania Hand dryer zinauzwa

    Pamoja
  11. F

    JamiiForums Tanzania Hand dryer zinauzwa

    Mkuu sio kitu cha ku convert. Kupata watts inabidi utupatie Voltage na Current na wala sio Voltage peke yake Mkuu nashukuru umeona mapungufu ya jibu lako ingawa mteja aliyekuuliza swali la watts ngapi hujamjibu.Anyways nilikuwa najaribu kumsaidia mteja aliyekuuliza swali apate jibu stahiki.Barikiwa
  12. F

    JamiiForums Tanzania Hand dryer zinauzwa

    Mkuu sio kitu cha ku convert. Kupata watts inabidi utupatie Voltage na Current na wala sio Voltage peke yake
  13. F

    JamiiForums Tanzania The NWO is up and ready!

    Kiongozi niliondoka Tanzania tangu 2001, nipo USA, kuja huko huwa ni likizo tu.Hapo unaposema ni mfumo tofauti kabisa na 1G-4G naona kuna ukakasi haswa kwa 4G. Tofauti ipo lakini low band ya 5G inatumia inatumia similar frequency na 4G ambayo ni 600-900 MHz. Na pia kwa huku nilipo...
  14. F

    JamiiForums Tanzania The NWO is up and ready!

    Kiongozi mbona huku nilipo 5G ilishawashwa tangu mwaka jana nadhani na sijaona tofauti yoyote na nipo na waliocjanjwa wengi tu? Kama kuna nisichoelewa naomba unieleweshe
  15. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini mpaka sasa sipati ukimwi?

    Kiongozi hapo umeonyesha kabisa kuwa muathirika anatumia dawa kwa hiyo hapo nadhani wewe kiongozi elimu ya huu ugonjwa kuna sehemu hujaielewa.Kinashokukinga wewe kutopata ugonjwa ni mke wako kutumia dawa kikamilifu. Sikushauri ufanye hili ila unaweza ku test zali kwa kumwambia aache kutumia dawa...
Back
Top Bottom