Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 15,878
- 20,730
- Thread starter
- #41
Seriously hakuna makubwa yanayotokea?You are suffering from Delusional Psycosis(DP) as many Tanzanians.You just need to have eyes to see and ears to hear,so much is happening.Kama hili la Corona kwa mfano hulioni,than you are mind controlled and a slave.Kama nilivyosema,you are suffering from DP!Nilipoanza kusoma issues NWO mwaka 2006 zilinifanya niwe na hofu kubwa, zilinifanya niwe very selective kuanzia ninachoangali kwenye Mainstreams mpaka aina ya vyakula just to avoid impurities and bad spiritual impartation kutoka kwa celebrites mbalimbali kupitia miziki yao na movie industry kiujumla.
Miaka yote hii imepita imekuwa kama hadithi za alfa olela hakuna makubwa yanayotokea zaidi ya CONSPIRACIES tu