Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 15,877
- 20,730
- Thread starter
- #61
Case hii najua ni ya airports,nilikuonyesha tu for your information.Mkuu umesoma content lakini ? Hiyo ni kitu ilikuwa inajulikana tangu zamani sana.Angalia ni 5G band gani na maeneo gani ambayo wameahirisha kuanza kutumia na kwa nini wamefanya hivyo.