Kwa ule upana Wa Barbara ya kimara posta ni gari moja ila inapeleka gari mbili!! Na kurudisha gari mbili na upana Wa kimara to kibaha wewe unaona ni Wa gar mbili ila ni Wa gari tatu !!! Kwenda na kurudi!! Subir uone acha watu wapige kazi hapa kazi tu!!!!
Iraq haijawahi kutawalika kidemekrasia tawala zote zilizopita pale ni za mkono Wa CHUMA kama sadamu zinadumu kwa muda flani iv bidae zinaanza chokochoko huyuu mshia anatubagua wasuni!!! Wakurdi nao wataanza huyuu anatubagua!!! Kila pande itabeba silaha Sunni watasapotiwa na saudi!!!! Shia...
Wakurd mkuu lilikuwa in taifa kubwa!! Miaka ya zamani kdgoo wakati mwingereza ana pambana kuondoa utawala Wa Othman waturuki alishindwa sana ktk vita walikuwa wapo mbele sana kiama endeleo alikuwa anapata wakat mgumu sana kupita ktk maeneo yao alicho amua no kugawanya nchi yao kipande...
Hakuna nchi ya kiislamu iliyovurugwa wewe acha povuu lisilo na akili kila mtawala anae ibuka mashariki ya kati lazma akawalambe miguu mabeberu ma magharib waje kumweka nao wanakubali kwa kuwa wanataka Mafuta wakimchoka au akienda tofauti na wao! Anatafutwa mwingine apo apo kumpindua kwa akili za...
Hizo nchi zako za kiislamu viongozi wake ni wanafiki wakubwa samahani kwa kusema hvyoo!! Wengi wao wamesimikwa mamlakani na mataifa ya magharib anzia saudia, jordani, kuweit,misri,emirate,nawapo mamlakani kwa kwa kupewa sapoti kubwa sana na mabeberu Wa magharib wanapoenda kinyume wanatolewa na...
Pamoja sana mkuu!!! kuna mstari kwenye Bible unasema maneno haya yasitoke kinywani mwako Bali yatafakar mchana na usiku...sikumbiki vzru ni kitabu gani but ninachotaka kusema ni iv chochote unachokipa nafasi akilini mwako utaona matunda yake iwe ni meditation ya neno la Mungu au meditation...
Acha uzushi wewe pita ubungo ukute askari anaita magari kwenye ule mzunguko Wa kichana foleni kama zamani!!! Ina maana askari akiwepo watu hawapiti kinyerezi na mbezi!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.