Mwanakijiji! Hao ni makamanda wapiganaji wanaopigania mali yao ya UFISADI isitoke ndani ya chama. 40 years ya CCM hakuna mabadiliko sasa ni nini hii kama si uozo? Watu ni walewale kila siku tena na kutuongezea vizazi vyao ndani ya Chama na uongozi. Ndoa, ushemeji, ukwe, uwifi, ubibi na ubabu...
Guys, kanumba alikuwa mgeni ndani ya BBA for 24 hrs i think. Na kwa mujibu wa udaku kaka kala shavu la kuingia BBA kiushkaji, nilisikia ana rafiki yake pande flani hivi za channel ya uchaguzi wa nani aende kama mgeni ndani ya nyumba....anyway, haijalishi kaka kala shavu japo ngeli hajui exposure...
Kwa mtindo huu bado kabisa ajali haziwezi kuisha nenda SUMATRA sasa hivi utakuta vishoka wamejaa pale kibao wanasubiri wateja wa kuwakatia leseni za faster faster, unatoa kitu kidogo unapata vehicle inspection report hapo hapo bila hata gari kukaguliwa. je tutafika? bado wazee wa "TIGO" nayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.