Recent content by Fellaini

  1. Fellaini

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Wastara anatudanganya kuwa yupo hospitalini India?

    Mange kashafanya yake Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
  2. Fellaini

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Wastara anatudanganya kuwa yupo hospitalini India?

    Tanzania n nchi ya Ajabu sana haichoki kwa vihoja. Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
  3. Fellaini

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Sheikh wetu Mussa Alhad kwa huyu Mange hayako sawa

    N ujinga uliopitiliza kujibizana na mtu kama mange anaacha kutetea waislam walio jera hadi lo hh hawajasomewa mshtaka yao .
  4. Fellaini

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ligi nzuri n Brazil,Argentina,Iran,India ,Saud Arabia , Malaysia na India huku ushindi n njenje mkuu.
  5. Fellaini

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Inaafaa kama umejilipua , wengine tuna bet kwa ustaarabu kupata hela ya bundle tu .
  6. Fellaini

    JamiiForums Tanzania Mwanaume una mguu laini, unavaa pensi. Unataka tukuelewe vipi?

    Pensi kama nguo nyengine anayovaa mwanaume, joto lote hili kuvaa pensi.
  7. Fellaini

    JamiiForums Tanzania Mwanaume una mguu laini, unavaa pensi. Unataka tukuelewe vipi?

    Kwa hiyo wenye mnyoya ndio wanavaa pensi
  8. Fellaini

    JamiiForums Tanzania Nile vyakula gani mwili ujengeke vizuri

    Hh nimeipenda viazi+bamia+nyama hh ntaitengeneza kesho asubuhi .
  9. Fellaini

    JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya anafanya biashara gani hadi aendeshe magari ya kifahari? Mwenyewe amejibu..

    Hukumbuki project ya Maisha Plus
  10. Fellaini

    JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya anafanya biashara gani hadi aendeshe magari ya kifahari? Mwenyewe amejibu..

    Ana project nyingi Sana , hujui project ile iliyokuwa inaoneshwa na vituo vya tv jina nimeisahau
  11. Fellaini

    JamiiForums Tanzania Walevi wa mademu njoni hapa pana panawahusu

    Namba 4 nipatie namba yake plz
  12. Fellaini

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumdhalilisha mumewe, Joyce Kiria asema hataki ushauri kutoka kwa mtu yoyote

    Kwanini asingemshauri mumewe wananunue kiwanja , nazani joyce hana mawazo ya kujenga yeye nyumba za kupanga tu mwanamke bora n yule anaye kushauri mambo ya maendeleo.
  13. Fellaini

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hapa sasa nimepata darasa manake nilikuwa nakurupuka kubet
  14. Fellaini

    JamiiForums Tanzania Biashara Kumi (10) Unazoweza Kuanzisha Mwaka Huu 2018 Na Ukapata Mafanikio Makubwa

    Biashara ya nafaka , hapa utaangalia bei yako kama wenzako wanAuza bei kubwa wewe punguza bei ili mzigo uliokuwa nao uishe
  15. Fellaini

    JamiiForums Tanzania Je, hili ni goli au sio goli? Kama wewe ni mtaalamu wa soccer.

    Hiyo kwani sio 3/4 mkuu
Back
Top Bottom