Mwanaume una mguu laini, unavaa pensi. Unataka tukuelewe vipi?

Mtoa mada ana wivu wa kike, mwanaume rijali hana muda wa kufuatilia maisha ya mwanaume mwenzie....
 
Sasa mzeebaba sijakuelewa, unamaindi wanaume wenye miguu laini kuvaa pensi lkn pia unasema wewe unamguu komavu ndomaana huvai pensi. So hoja yako ni nini hapa kwamba wanaume tusivae pensi au mwanaume yupi ndo avae pensi na yupi asivae ?
 
Jamani ni uumbaji tu na kujali ngozi na mwili co kwa wanawake tu,wanaume pia wahusike,by the way itc sexy ukikuta mkaka kavaa pensi flani hivi na miguu amazing
 
Mwanaume unapata mda wakuangalia mguu wa mwanaume mwenzio?
Fala kweli... Mi navaa kwani nilitaka niumbwe na mguu laini au Mungu kuniepusha na viajali nikakosa makovu iwe shida? We ndo shoga boya wewe... Wenzio tunageuka kuangalia miguu ya akina Mwajuma we unaangalia ya Charles. BOYA wewe
 
Siku hizi kuna ongezeko la wanaume kuvaa pensi fupi

Unakuta msela ana guu la bia halafu laini hata kovu hana anavaa pensi ujue anaonekana kama shoga

Mwanaume rijali kama mimi mguu umekomaa na una nywele kibao ziwezi kuvaa pensi

Nyie masela mnaovaa pensi mbele ya kadamnasi na hiyo miguu yenu soft mnatuaibisha wanaume wenzenu mnakua kama mashoga bhana .
Inaonekana wanakuvutia...
 
Broo Kama hauna Miguu ya kuvalia Pensi Kaa Kimya Tu, Maana Kukomaa kwa miguu au kuwa na makovu na minywele kibao sio ishara ya uanaume bana.
Pensi Pensi Tu na linavaliwa kila mahali ili mradi uwe naweza ku-match nalo kwa mwonekano.
Kama maisha umepitia magumu afu umejwa na makovu niwewe peke yako.
Kuna siku nimevaa pensi nipo katika daladala nimekaa na mdada mmoja for sure aliniomba mawasiliano hadi kesho nawasiliana naye kisa tu.
Kapendezewa na miguu yangu nilivyovaa pensi.
Jamaa yangu mke wake hataki jamaa avae pensi akiwa peke yake maana anasema anaona wivu haswaaaa.
Broo pensi zitavaliwa tu Kwa namna yoyote.
Unaweza ukawa mgumu na bado ukawa kama shoga tu.
Na unaweza uka soft na bado ukawa mwanaume wa shoka vile vile.
Sasa kama nyumbani mtu anapetiwa vizuri na mke wake atashindwaje kuwa soft?
Sometimes Wanaume wasiozijua Ndoa Wanamatatizo na stress za Ubachela
Pensi kama nguo nyengine anayovaa mwanaume, joto lote hili kuvaa pensi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom