Recent content by Felixonfellix

  1. Felixonfellix

    JamiiForums Tanzania Waishio milimani Jijini Mwanza watakiwa kuondoka kupisha mwekezaji

    Nduhu tabhuuuuuuu
  2. Felixonfellix

    JamiiForums Tanzania Waishio milimani Jijini Mwanza watakiwa kuondoka kupisha mwekezaji

    Ya ngorongoro yanakuja mwanza. Mioyo ijiandae tu kuyapokea
  3. Felixonfellix

    JamiiForums Tanzania Lijualikali: CHADEMA iliiba kura za Urais baadhi ya Majimbo 2015

    Atavuna aibu mwisho wake
  4. Felixonfellix

    JamiiForums Tanzania Lijualikali: CHADEMA iliiba kura za Urais baadhi ya Majimbo 2015

    Hata taahira hawezi kukubaliana na huu ujinga wa huyu kijana
  5. Felixonfellix

    JamiiForums Tanzania Umiliki na mamlaka ya Zanzibar juu ya kisiwa cha Latham (Fungu Mbaraka)

    UMILIKI NA MAMLAKA YA ZANZIBAR JUU YA KISIWA CHA LATHAM (FUNGU MBARAKA) Imetayarishwa na OTHMAN MASOUD OTHMAN Nimefarajika sana kuona kwamba Wazanzibari wengi wamepata muamko mkubwa kuhusiana na maslahi ya Zanzibar katika suala la kisiwa cha Latham (Fungu Mbaraka). Hii ni faraja kwa vile...
  6. Felixonfellix

    JamiiForums Tanzania Majina ya Wabunge Viti Maalum hadharani: CCM-64, CHADEMA-36, CUF-10

    Kwani uteuzi hufanywa na nani? Majina hupelekwa na nani tume? Vigezo gani huzingatiwa! Why kulalamika?
  7. Felixonfellix

    JamiiForums Tanzania Lema: Tutapokea kigogo wa CCM

    Kwenye siasa wanasemaga hakuna adui wa kudumu
  8. Felixonfellix

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Hakuna Mhandisi wala Mwanasayansi!

    Swali kwa mtoa mada!! Unataka wanasayansi wa aina gani?? Unataka wahandisi wa aina gani? Unataka wana mahesabu wa aina gani??? Maana kama unataka uwaone kama walioko CCM hutawapata.
  9. Felixonfellix

    JamiiForums Tanzania Mwanza yazizima mapokezi ya Magufuli

    Siyo kweli kabisaaa, mie niko Mwanza. Cha mno sana walifunga barabara yetu ya Makongoro!!! Alikuwa na ratiba ya kusimama kidogo Pasiansi, na baadae aendelee na safari yake kuelekea Geita akishamaliza kutembelea ofisi za mkoa kichama.
  10. Felixonfellix

    JamiiForums Tanzania Jamiiforums' EXCLUSIVE interview: Ana kwa ana na Balozi Khamis Kagasheki (Shiriki kwa kutoa Maswali)

    Inakuwaje wizara ya maliasili na utalii wanatoa vibali vya kufanya utafiti wa madini ya aina mbalimbali katika mbuga za wanyama na hifadhi za wanyama? Je, ni kwanini wizara inaruhusu migodi ifunguliwe katika hifadhi hizo wakati wizara hiyo hiyo huwazuia au kuwakatalia wananchi wanaohitaji...
  11. Felixonfellix

    JamiiForums Tanzania Kitabu maarufu: 'Kwaheri ukoloni, kwaheri uhuru,' kimewasili Tanzania

    Mwanza tutakipataje?
  12. Felixonfellix

    JamiiForums Tanzania Mtei: Zitto Hahitajiki ndani ya CHADEMA, Uamuzi wa Kamati Kuu ni wa Mwisho!

    Kazi ipo. Ushauri wa baraza la wazee ungefaa sana
  13. Felixonfellix

    JamiiForums Tanzania TANZIA Dr. Sengondo Mvungi afariki Dunia

    Huzuni sana
Back
Top Bottom