Recent content by Felix

  1. F

    GE2025 Ratiba ya chaguzi imetoka, NRNE chali. Liwe fundisho kwa wanaharakati

    Utunge basi na taarabu maana naona wee bingwa wa mipasho. Kama nakuona unavyo pita mtaani umevaa na kushikilia kijola ukiimba ratiba ya uchaguzi
  2. F

    Wapi napata kifaa cha kutafisiri Ligha mbali mbali?

    Wakuu, naomba kama kuna mtu anauza device za kutafisiri lugha. Mfano uko kwenye mkutano ujeruman wakiongea kijerumani wewe unakuwa unasikia kwa English. Kwa yeyote anaeuza tuwasiliane.
  3. F

    Nida Kibaha maili Moja kuna moja ya mtumshi wenu pale hafai

    Ukirudi mpige picha yake, unitumie. Nikumpatia Bibi yangu huyo mama sura itaonekana kama kinyesi kwa mwajiri wake.
  4. F

    Kilimanjaro/Arusha hatujapata baiskeli za Mama au tutarajie Pikipiki?

    Mnatarajia rushwa ya uchaguzi uliyo tukukuka kutoka kwa mtukufu. Siyoeee!!
  5. F

    Askofu Gwajima: Rais Sio mzalendo namba moja nchini, Mwanajeshi ndio mzalendo namba moja

    Acha ufara wewe apa anaongea uhalisia siyo nadharia. Wakati tunapigana na Id-amin. Ulimuona nyerere popote akiwa na siraha? Zaidi ya kusema eti uwezo tunao, nia tunayo, na sababu ya kumpiga tunayo. Lakin alikaa ikulu na kula nyama choma. Au ulikuwa hujazaliwa bwege wee
  6. F

    Chumbani kwa Mshana Jr, comments ziwe fupifupi tafaadhali.

    Alifuata ka mchezo ka wapemba, kakuta mshana hapendi kaamua kupiga picha
  7. F

    Nitaijibu Barua Ya Kujiuzulu ya Humphrey Polepole kwa Hoja Nzito na kuonyesha Unafiki wake na wale wanaomtumia kumyumbisha Rais Samia

    Umewashwa sana sijui umekunwa au bado?? Hiyo barua unaijibu kama nan kwanza? Imekulenga wewe au nikuwashwa? Au ndio mkuu wa WAUNI
  8. F

    msaada wa kufungua kanisa la kiroho

    Ongera lakon kama ungeweza ungefungus huduma hiyo apa msumbiji. Kwa apa wee nenda wizara ya mambo ya ndani tu
  9. F

    Kwa maslahi mapana ya TAIFA uchaguzi haupaswi kuwa HURU

    hoja ama swali la kipumbavu Hujibiwa kipumbavu vile vile. Hv kweli nyakati hizi umekaa ukawaza ukaona uandike kutushauri kwamba unaona ni bora uchaguzi usiwe huru na haki??? Ccm yenyewe inaimba uchaguz utakuwa huru na wa haki, sasa wewe ni chama gani ndugu kama siyo robot. Ndio maana ulijibiwa...
  10. F

    Maisha Kitendawili: Ni sahihi IGP mstaafu kuwa mkuu wa mkoa, kama ilivyo sasa kwa Sirro?

    Apa Tatizo siyo la muheshimiwa raisi Samia hatakiwi kulaumiwa kwa lolote. Kwanini? Kwa sababu hata kama ni mkuu wa nchi, hatumii watu kama machine kwa kutoa command. Tatizo kubwa liko kwenye njaa zetu na matumbo yetu. Kama sivyo mtu kama siro, amekuwa IGP anariport kwa raisi moja kwa moja...
  11. F

    Kwa maslahi mapana ya TAIFA uchaguzi haupaswi kuwa HURU

    Huu ujumbe aliye uanzisha na wewe uliye uchangia akili zenu ziko matakoni kama nyuki siyo kichwani. Na kwa jinsi mnavyo mdhiaki Mungu kwa kujifanya watakatifu wa kulinda amani ya nchi, wakati unakuja sasa muda utaongea ambao Mungu atashusha mapigo ya live kwa hilo taifa mnalo lidhurimu kwa...
  12. F

    Uchaguzi 2025, CHADEMA warudishwa uwanjani na serikali ya CCM, Je, CHADEMA watakubali au watagoma? 5 questions to answer!

    Mkuu alisema Marekani na Ulaya katika uchumi hawafanyi kama Tanzania so uenda bila mikopo yy anaona tuta toboa. Pili. Kuhusu kuruhusiwa chadema, ni vyema wamuachie Lisu, wafute kesi ya kuifungia chadema waliyo ifungua, waruhusu chadema ipate ruzuku.... Badae chadema wakubali kuingia kwenye...
Back
Top Bottom