serikali yangu chini ya mhe. Dr kikwete mnaambiwa msiandamane lakini kwa vile kuna viongozi wenyewe iq ndngo kama piriton ndiyo wanasababisha raia wema kuvunja sheria.damu ya arusha,moro.songea,dar itawamaliza cdm
ndugu zangu nyie mtakuwa mashaidi kuwa kuna wabunge wanaropoka bungeni na nje ya bunge bila kufanya utafiti wa jambo. Wazungu wanasema no data stop talking. Mfano mbunge wa arusha mjini anasema mbunge wetu ni mkabila. Mbona chama chao ni cha ukabila ? Mbunge we2 wa arumeru magharibi piga kazi...
unajua huwezi kwenda kwenye vita vya bunduki na kisu au fimbo. Hapa ili 2mpate the best politician of the yr 2naangalia vi2 gani?.my self siwezi sema fulani iz the best wakati ni mropokaji kama mbunge wa arusha mjini.ila let tel u the best one is JOSEPH GUDLUCK OLE MEDEYE mbunge wa jimbo langu
kuna kitu kinaitwa work boundary au territory so waandishi wa habari na vyombo vya habari hawatakiwi kutoa maana taifa la weza kudumbukia kwenye umwgaji damu.sisi 2natakiwa kulaumu watendaji wakuu wa serikali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.