entry qualification ya kuwa mbunge ni kusoma na kuandika

Dec 22, 2013
8
1
ndugu zangu nyie mtakuwa mashaidi kuwa kuna wabunge wanaropoka bungeni na nje ya bunge bila kufanya utafiti wa jambo. Wazungu wanasema no data stop talking. Mfano mbunge wa arusha mjini anasema mbunge wetu ni mkabila. Mbona chama chao ni cha ukabila ? Mbunge we2 wa arumeru magharibi piga kazi achana na mropokaji
 
Back
Top Bottom