Recent content by felista elias

  1. felista elias

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu masomo ya online au short courses.

    asante sana ndugu
  2. felista elias

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu masomo ya online au short courses.

    kwasasa ninaelimu ya ualimu ngazi ya shahada
  3. felista elias

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu masomo ya online au short courses.

    habari zenu wadau naomba mnisaidie. kujua ni short course gani ambazo zinaweza kumsaidia mtu kuiongezea uzito CV yake. online au evening classes? asanteni.
  4. felista elias

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba.!b-)

    kuna forum inayohusiana na hayo mambo ndugu.huku ni kazi na tenda.au useme naajiri mwanamke siyo unatafuta wa kuoa.
  5. felista elias

    JamiiForums Tanzania cv

    asante ndugu mungu akubariki.
  6. felista elias

    JamiiForums Tanzania cv

    jamani naomb mnisaidie.. CV inatakiwa iwe na vitu ganì na unaipangaje? nisaidieni wakubwa.
  7. felista elias

    JamiiForums Tanzania Tanzania Part Time jobs

    nahitaji sana but how to apply
  8. felista elias

    JamiiForums Tanzania Setrac foundation

    iko wapi tuje
  9. felista elias

    JamiiForums Tanzania Nafasi mpya za kazi tanzania international universty

    ila kama mtu unashida ya kazi waweza tuma maombi yako tu uzuri original copy ya vyeti vyako unavyo.
Back
Top Bottom