Nafasi mpya za kazi tanzania international universty | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafasi mpya za kazi tanzania international universty

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Obama wa Bongo, Feb 11, 2013.

 1. Obama wa Bongo

  Obama wa Bongo JF-Expert Member

  #1
  Feb 11, 2013
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 4,574
  Likes Received: 1,524
  Trophy Points: 280
  [FONT=&quot]TANGAZO LA KAZI[/FONT] [FONT=&quot]CHUO KIKUU KIPYA CHA KIMATAIFA CHA TANZANIA[/FONT] [FONT=&quot](TANZANIA INTERNATIONAL UNIVERSITY)[/FONT] [FONT=&quot]VACANCIES[/FONT] [FONT=&quot]1. [/FONT][FONT=&quot]SENIOR LECTURES (16) – Professor, Associate Professor or PhD holders.[/FONT] [FONT=&quot]2. [/FONT][FONT=&quot]LECTURES ( 30 ) – PhD or experienced Masters Degree holders (GPA 4.0 and Above)[/FONT] [FONT=&quot]3. [/FONT][FONT=&quot]ASSISTANT LECTURERS ( 36 ) – Masters Degree or Experienced bachelor with GPA 3.7 and above[/FONT] [FONT=&quot]4. [/FONT][FONT=&quot]TUTORIAL ASSISTANT (20 ) – Bachelor Degree Holder with GPA 3.5 and Above[/FONT] [FONT=&quot] [/FONT] [FONT=&quot]DEPARTMENTS[/FONT] [FONT=&quot]1. [/FONT][FONT=&quot]SOCIAL SCIENCES DEPARTMENT[/FONT] [FONT=&quot]2. [/FONT][FONT=&quot]BUSSNESS ADMINISTRATION[/FONT] [FONT=&quot]3. [/FONT][FONT=&quot]EDUCATION[/FONT] [FONT=&quot]4. [/FONT][FONT=&quot]DEPARTMENT OF LAW[/FONT] [FONT=&quot]5. [/FONT][FONT=&quot]COMPUTER STUDIES[/FONT] [FONT=&quot] [/FONT] [FONT=&quot]HUMAN RESOURCE DEPARTMENT -ADMINISTRATION SUPPORTING STAFFS[/FONT] [FONT=&quot]1. [/FONT][FONT=&quot]ADMISSION OFFICERS ( 2 )[/FONT] [FONT=&quot]2. [/FONT][FONT=&quot]HUMAN RESOURCE MANAGER ( 2 )[/FONT] [FONT=&quot]3. [/FONT][FONT=&quot]ACCOUNTANTS ( 2 )[/FONT] [FONT=&quot]4. [/FONT][FONT=&quot]PROCUREMENT OFFICERS ( 2 )[/FONT] [FONT=&quot]5. [/FONT][FONT=&quot]LIBRARIAN ( 2 )[/FONT] [FONT=&quot]6. [/FONT][FONT=&quot]ASSISTANT LIBRARIAN ( 2 )[/FONT] [FONT=&quot]7. [/FONT][FONT=&quot]REGISTRY ( 1 )[/FONT] [FONT=&quot]8. [/FONT][FONT=&quot]DEAN OF STUDENTS ( 1 )[/FONT] [FONT=&quot]9. [/FONT][FONT=&quot]ASSISTANT DEAN ( 1 )[/FONT] [FONT=&quot]10 [/FONT][FONT=&quot]DRIVERS ( 2 )[/FONT] [FONT=&quot]11 [/FONT][FONT=&quot]OFFICE ATTENDANT ( 2 )[/FONT] [FONT=&quot]If you’re interested and meet the mentioned qualification for the mentioned post, forward your CV, Cover letter and academic certificates at [/FONT][FONT=&quot]jobs.tiutz@yahoo.com[/FONT][FONT=&quot] also you must send the same copy to Vice Chancellor at [/FONT][FONT=&quot]smnzava@yahoo.com[/FONT][FONT=&quot] not later than 02[SUP]nd[/SUP] March 2013 OR Post directly to the address below but also your allowed bring your application physically, Women are encouraged to apply.[/FONT] [FONT=&quot] [/FONT] [FONT=&quot]TANZANIA INTERNATIONAL UNIVERSITY[/FONT] [FONT=&quot]KIMARA MWISHO – ALONG BONYOKWA ROAD[/FONT] [FONT=&quot] P.O.BO.X 9858[/FONT] [FONT=&quot] DAR ES SALAAM – TANZANIA[/FONT]
   
 2. T

  Teresia Mahimbi JF-Expert Member

  #2
  Feb 11, 2013
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 272
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  KInatambuliwa na TCU???tunaomba website yake isije ikawa yaleyale mkatumia CV zetu na vyeti isivyotakiwa..na uzoefu wangu wa vyuo hapa Bongo cjawah kukisikia kabisaaaaaaaaaa,hata datastarna Zoom polytechnic kina afadhali..Halafu Vice Chancellor atatmiaje email ya yahoo???hamna email ya chuo??waacha upuuzi ww
   
 3. M

  Morick Senior Member

  #3
  Feb 11, 2013
  Joined: Dec 11, 2012
  Messages: 114
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Jamani ebu tuambiane ukweli kuhusu hichi chuo kweli tangazo la chuo linatolewa kirahi hivyo ati maombi yatumwe kwenye yahoo, binafsi naona changa la macho-
   
 4. M

  Mapya Yaja JF-Expert Member

  #4
  Feb 11, 2013
  Joined: Feb 8, 2013
  Messages: 515
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 80
  Hata English iliyotumika imenipa shaka kama kweli ni tangazo la chuo kikuu!!
   
 5. m

  mama esnath Member

  #5
  Feb 11, 2013
  Joined: Dec 28, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  habari yako mdau wa jf hapo juu.usitake kupata kazi kwa format ulizojiwekea wewe.umeshaambiwa ni chuo kipya.na hakiwezi kujitangaza kama hakiko kwenye procedures za TCU.kama shida yako ni kazi apply,kwani hao TCU ndipo wanaotakiwa kukulipa mshahara.
  ndio maana baadhi watanzania mnaendelea kubaki na matatizo yenu.na vice chancellor akitimia yahoo shida nini????? igeni mfano wa wakenya.kama ni kenya hicho chuo kingekuwa kimeshapata wafanyakazi siku nyingi na matangazo ya kazi yengeshafungwa.
   
 6. makavulaivu

  makavulaivu JF-Expert Member

  #6
  Feb 11, 2013
  Joined: Dec 29, 2012
  Messages: 402
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  wanalalamika ajira hakuna, zikija wanaanza kuzizulia maswali.
   
 7. kapistrano

  kapistrano JF-Expert Member

  #7
  Feb 11, 2013
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,205
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Kama unavyojua hapa jamvini ni kwa watu wenye upeo wajuu sana hivyo uletapo kitu ni lazima watu wacomment ili kujilizisha na unachokisema hivyo basi tunaomba ujibu jinsi ya watu wanavyokuuliza na siyo vingine ni kama ulivyofanya uungwana kuleta tangazo hili basi hivyo iwe sambamba ktk kutuo ufafanuzi
   
 8. Obama wa Bongo

  Obama wa Bongo JF-Expert Member

  #8
  Feb 11, 2013
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 4,574
  Likes Received: 1,524
  Trophy Points: 280
  wewe waache tu ndugu! watanzania hawabebeki na hawakosi la kuongea! badala ya kuchangamkia fursa!wenyewe wanaongea ngoja kenyans walione watakavyotuma!
   
 9. Obama wa Bongo

  Obama wa Bongo JF-Expert Member

  #9
  Feb 11, 2013
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 4,574
  Likes Received: 1,524
  Trophy Points: 280
  tuma ndugu huwezi jua bahati yako!
   
 10. Obama wa Bongo

  Obama wa Bongo JF-Expert Member

  #10
  Feb 11, 2013
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 4,574
  Likes Received: 1,524
  Trophy Points: 280
  hebu tumia english yako fasaha!tuione bwana muingereza maana lugha iliyotumika ni rahisi kuliko
   
 11. betlehem

  betlehem JF-Expert Member

  #11
  Feb 11, 2013
  Joined: May 9, 2012
  Messages: 7,234
  Likes Received: 1,773
  Trophy Points: 280
  Tangazo rasmi liko wapi?
   
 12. Mnyamwezi wa Urambo

  Mnyamwezi wa Urambo JF-Expert Member

  #12
  Feb 11, 2013
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 933
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Duh!Hiki nacho kimeanza lini tena?
   
 13. m

  mama esnath Member

  #13
  Feb 11, 2013
  Joined: Dec 28, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hebu weka english yako hapo tuione.au ni ile ya "ze..ze..you know...ze"

  Vyuo vyote vilivyokomaa vilianza vichanga hivyo hivyo.hata polytecnic ilianza hivyo hivyo mpaka imekuwa full registered.tatizo letu wa TZ tunapenda hear say kupita maelezo,hatupendi challenges.wacha vyuo vikuu vipya vianzishwe ili nchi ipate challenges.

  Nashangaa sana,una njaa hutaki ugali unataka keki!!!
   
 14. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #14
  Feb 11, 2013
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  M2 wng utakuwa nyuma ya digital maana itv wanakitangaza xana 2.
   
 15. T

  Teresia Mahimbi JF-Expert Member

  #15
  Feb 11, 2013
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 272
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  ww mama hebu jiheshimu kwanza na utambue nafasi yako kama mama/mzazi ambae utalipa ada halafu baadae TCU inakuja kusema Chuo hakitambuliki!!!usione sisi machizi tunaotoa angalizo..kwanza nna wasiwas kama elimu yako hata form four imefika kwa sababu huwezi kutambua hata kiduchu tuuu??haihitaji kuwa na degree kutambua kwamba hapa kuna mapungufu meennnnnnnnnngiii tu..nakupa mfano wa last wk ITv imerusha tangazo la chuo kimoja-sikikumbuki kwamba kinatoa degree ,masterz etc..in the following day TCU wakaweka tangazo wakitahadharisha hiko chuo hakitambuliki..the third day ITV wakarusha tangazo na wahusika wa chuo wakisema hawajakamilisha process za TCu..my point is..walianzaje kujinadi ilhal bado hawajasajiliwa??si ndo utapeli huo??ciome on ww mama hebu onyesha kwamba huitwi mama kwa bahati mbaya??umenikera ww mama,na hali ilivyo ngumu hivi unataka kuwaingiza mkenge wenzio walipe ada kwa utapeli wenu??ebo
   
 16. T

  Teresia Mahimbi JF-Expert Member

  #16
  Feb 11, 2013
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 272
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Are you trying to market the so called Chuo ambacho hakitambuliwi na TCu??acha utapeli ww//hata KIU ilitangazwa sana kabla ya kusotea kutambuliwa na TCU na wengi walipoteza muda na pesa kusomesha watoto wao..peleken utapeli wenu huko..so what ITV wakitangaza???do u think wana duty ya kujua kwamba hiki chuo ni magumashi or not??ndo mana TCU wakiona tu hayo magumashi wanatoa taarifa gazetini kuwa hakitambuliwi..ITV wao ni biashara hawawez kataaa na hawana burden ya kuthibithisha kama halali or not..hata ww ukipeleka tangazo lako la ndoa(ilhal una mke)watakutangazia tu...au mkuu upeo wako wa kufikir umeishia hapo??shame on you kutaka kuwaingiza hasara watanzania wenzenu..jamani hivi vyuo vya uchocgoron kamwe msivikubali kabisaaaaaa..kwanza cho gani kitakuwa Kimara Bonyokwa??ebooooooooooo
   
 17. felista elias

  felista elias Member

  #17
  Feb 11, 2013
  Joined: Feb 6, 2013
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  ila kama mtu unashida ya kazi waweza tuma maombi yako tu uzuri original copy ya vyeti vyako unavyo.
   
 18. engineerm

  engineerm Senior Member

  #18
  Feb 11, 2013
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiki chuo kweli kipo ni kipya tu jengo lake lipo pale kimara mwisho(linapojengwa daraja la juu) ukitokea ubungo ni mkono wa kushoto fuata barabara ni kama mita 300m utakiona.
   
 19. T

  Teresia Mahimbi JF-Expert Member

  #19
  Feb 11, 2013
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 272
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kumbe umejiunga JF ijumaa??no wonder upeo wako wa kufikirni mdogo!!are you the marketing Officer??then tell your HR who designed the Advert to go back to school..I wonder huyo Chancellor aliepitisha tangazo lenye mapungufu makubwa kama hili??itabidi nifanye inquiry kumfahamu,aibu hii mnaleta
   
 20. O

  Old Member (Retired) JF-Expert Member

  #20
  Feb 11, 2013
  Joined: Sep 29, 2012
  Messages: 3,449
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 0
  kuwahi kujiunga jamiiforums hakumaanishi kuwa na uwezo wako wa kufikiri utakuwa mkubwa, kuna vilaza wengi tu waliowahi kuijunga jf lakini wanatoa hoja dhaifu kama wewe. Hakuna uhusiano wowote kati uwezo wa mtu kufikiri na kuwahi kujiunga jf
   
Loading...