Naomba kufahamu masomo ya online au short courses.

Naomba kufahamu masomo ya online au short courses.

felista elias

Member
Joined
Feb 6, 2013
Posts
10
Reaction score
1
habari zenu wadau naomba mnisaidie.
kujua ni short course gani ambazo zinaweza kumsaidia mtu kuiongezea uzito CV yake. online au evening classes?
asanteni.
 
habari zenu wadau naomba mnisaidie.
kujua ni short course gani ambazo zinaweza kumsaidia mtu kuiongezea uzito CV yake. online au evening classes?
asanteni.
Ahsante sana. Umeuliza swali langu.....tusubirie msaada kutoka kwa wadau.
 
Itakua vema ukitueleza Sasa una Ujuzi/elimu gani ili tupate kwa kuanzia
 
Ingia www.alison.com hapo utapata kozi zote unazozihitaji za certificate na diploma tena zinakubalika kimataifa. Kozi ni free hila ukishafanya mtihani cheti unalipia
 
Back
Top Bottom