Recent content by FDD

  1. F

    Chuma wa Kaole tunakukumbuka

    Kusoma kwingi nahisi ndio kumempoteza jamaa ilan nguli fulani hivi hata tuliokuwa tukiona n star wa bongo movie...swags zote waliiga kwa huyu jamaa! Happiest birthday Nguli!
  2. F

    Hivi kifo bado kipo?

    Acha wenge.... Sent using Jamii Forums mobile app
  3. F

    Mkapa awapa neno wanaotaka Magufuli aongoze mihula mitatu

    Kwa anavyoifanyia hii inchi mengi mazuri. Ni vema kabisa akiendelea. Nampenda sana Raisi wangut Sent using Jamii Forums mobile app
  4. F

    Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi: Nimezuiwa kuingia kwenye kaburi la mume wangu. Nimechoka na sitakubali

    Sio kila mkosaji anastahili lawama lakini pia ikumbukwe sisi wanadamu hatuhukumu isipokuwa Mungu. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. F

    Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi: Nimezuiwa kuingia kwenye kaburi la mume wangu. Nimechoka na sitakubali

    Pole sana dada yangu Jacqueline N. Mengi Mungu hajawahi kumtupa mja wake. Nakutakia kila la kheri katika kumtanguliza yeye mwenye nguvu. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. F

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Ndio Sent using Jamii Forums mobile app
  7. F

    Almanusura nimtoe roho Bosi wangu leo kwa kipigo kizito ofisini

    Hasira Hasara... Jitahidi kuomba msamaha kwa Mungu kabla ya kikao cha kesho na tafuta namna ya kumsamehe kabisa bosi wako. Halikadhalika hakikisha kikao hicho utaonekana uko chini ya bosi wako usimkaripie wala kumnyooshea kidole. Bembeleza kazi yako kwa kuheshimu wenzako maana kwa...
  8. F

    Mwamposa (bulldozer) ametimiza hatua muhimu ya kupanda daraja

    Dah! Hakikisha changamoto unazopitia zisiwe kiini cha kumkosea Mungu. Nawapenda sana ninyi ndugu zangu.... Misikosee kwa sababu ya changamoto mnazopitia. Yesu anawapenda sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. F

    Moshi: Watu 20 wapoteza maisha kwa kukanyagana kwenye Ibada ya Mwamposa; Polisi wathibitisha kumshikilia

    Kumbe bado una ukabila!? Pole sana Sent using Jamii Forums mobile app
  10. F

    Moshi: Watu 20 wapoteza maisha kwa kukanyagana kwenye Ibada ya Mwamposa; Polisi wathibitisha kumshikilia

    Sijamtaja jina... Fuatilia vizuri nilichoandika halikadhalika maandiko matakatifu niliyoonesha ili tuende sawa. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. F

    Nimesadiki maneno ya Dk. William M.Tanzania wa USA America

    Ulichoelewa ndicho hicho. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. F

    Nimesadiki maneno ya Dk. William M.Tanzania wa USA America

    Asante.. Ukisoma hayo maandiko utanielewa vema ni kwa nini nimetamka hivyo. Wengi wameanza na kuhusisha kilichotokea na nguvu za giza bila kuwa na uhakika. Hiyo sio nzuri. Lazima ndugu zangu ifike wakati tujue uelekeo wa kiroho bila kukurupuka. Changamoto ni zetu sote, zisitufanye tukamuona...
  13. F

    Nimesadiki maneno ya Dk. William M.Tanzania wa USA America

    Asante kwa sifa nzuri uliyonipatia... Wanadamu wote tumeumbiwa changamoto na changamoto hizo sio lazima kuibiwa pensil au kujikwaa tu hata kuondokewa na ndugu jamaa na rafiki zetu wa karibu. Nasi ni vema kwa chochote kinachotokea kwenye maisha kama changamoto ukamtukuza Yesu Kristu na sio...
  14. F

    Moshi: Watu 20 wapoteza maisha kwa kukanyagana kwenye Ibada ya Mwamposa; Polisi wathibitisha kumshikilia

    Dhambi isiyo samehewa ni ya kumkashifu roho mtakatifu (Marko 3:22-30) Ndugu zangu kwenye hili tuwe makini hasa kipindi hiki ambacho tumewapoteza wenzetu huko Moshi. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. F

Back
Top Bottom