Binafsi musoma ndio nyumbani, unapokuwa umeudhiwa ili kupunguza hasira zisikupe madhara ni lazima umnase kibao aliyekosea, hasa manesi, unakuta anakujibu kama anafanya kazi ya bure.
Ili uelewane na mkazi wa musoma, mweleweshe kwa uungwana kwa yale unayoyafanya na endapo kuna kosa limejitokeza...
Imetokea mtu mzima umelewa Pombe mpaka kujikojolea kisha ukalala mtaroni. vipi kwa watakao kuuliza kama uliweza kuyaelewa maneno yanayosisitiza UNYWAJI POMBE KUPITA KIASI NI HATARI KWA AFYA YAKO, KUNYWA KISTAARABU. kwenye matangazo ya pombe, watakuwa wamekutukana kama watakuhoji iwapo unajua...
Nachojua china imefungia mitandao baadhi ya kijamii kwa sababu wazijuazo, akitoka huko ataendelea kupost kama kawaida.
Mijadala inayoendelea inaonyesha upendo wa wananchi na jinsi walivyomzoea Rais wao.
Mpaka muda huu spika wa bunge haliafiki uhairishwaji huu sasa sijui bendera fata upepo zitaelekea kinyume au vp? Ndugai asema ni bora bandari ya bagamoyo kuliko SGR.
kazi kwelikweli kwa serikali ya asiye shaurika.
Tusubiri aje kwa kubatilisha ili wampongeze mkulu.
Mkuu ni bora ukate kuepuka usumbufu ili ufanye kazi zako vizuri.
Iwapo unapinga kitambulisho watakudai leseni ambayo ndio tabu kubwa zaidi.
Ni bora ukajikinga katika mwamvuli huu wa kitambulisho ukaendesha maisha yako kwa utulivu.
Vitambulisho hivi vinawagusa wote wasiozidi pato la 4milioni kwa...
Unaweza ukawa na mawazo mazuri ila ukishindwa namna ya kuwasilisha unakuwa umeharibu wazo lako kueleweka, epuka kudhihaki mawazo ya mtu hata kama hujaridhika nayo, ukitoa mawazo yako basi waachie wachambuzi tulinganishe kuliko kujipandisha na kujisifu, huna tofauti na yule wa magogoni anayeimba...
Yote yasemwayo ni mawazo ya watu walio tangulia si mambo yenye uthibitisho, muda ni hakimu mzuri, tuzidi kusubiri huku tukiishi maisha yetu, maana hata wakija sanasana italeta hofu tu, si kwamba watakuja kama wajomba zetu kuja kutusalimia, tujali yaliyopo hasa yanayotuhusu kama binadamu.
Wakuu mnaomdhihaki mtoa mada ni vyema mkajizuia maana hamjui kesho yenu, mbali na HIV kuna kansa, homa ya ini, kisukari na mengi kama hayo. Hivyo huwezi juwa ipo siku utakutana na la kuku-kuta na kudhihakiwa na wengine kama ufanyavyo hapa.
Kama asemavyo mtoa mada, ni kweli kabisa dawa hizi...
Ukweli ni mkubwa na ndio maana kila mtenda mabaya huamini hana mwisho wake, lakini watenda mema huamini wana mwisho unakuja hivyo hakuna haja ya kuumiza ama kuwafanyia mabaya wengine.
kadri unavyo kifikiria kifo ndivyo kiwango chako cha busara huongezeka.
ni mtazamo wangu tu.
Kama mzalendo ungewauliza. wapi bango la kinachofanyika hapa! kwa majibu yao utakayojibiwa yawezekana bango ndio linaandaliwa na kama hawajaliandaa wape ushauri waweke haraka, ili kazi ikiwa mbovu tujue mwaribifu ni nani tumshughulikie kwa kumwajibisha.
Ninachokiona kwa musiba ni mtu mwenye uthubutu, anatoa hoja iliyonyooka bila mafumbo hata wa la saba wanaelewa, azidi kulipua wengine zaidi bila kujali nafasi zao, na kama wamesingiziwa wakashtaki mahakamani, wakijibu au kukaa kimya itakuwa ni kazi bure.
ni mtazamo tu.
Bila shaka tuhuma huambatana na hoja, hivyo basi ni vyema kama makamba anajielewa atazijibu hoja kwa uthibitisho wa hoja zake za utetezi. wasikilizaji tutaamu, musiba kapuliza moto na matokeo ni kuwaka zaidi kadri anavyozidi kupuliza au kuzimika. kama makamba akitumia jazba pasipo hoja basi...
Aliko huko mavi yanagonga chupi,
Nimjuavyo Kangi Lugola mbunge wa jimbo la kibara ni mpenda sifa sana. kule kwao hujiita nut ya kirumi, kirumi ni daraja imara sana lililojengwa enzi za nyerere.
Alipostaafu upolisi alinunua baadhi ya mabasi ya kampuni ya allys na kuwarubuni wakazi wa maeneo yale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.