Recent content by FBY 2013

  1. FBY 2013

    Kikwete amekiuka sheria ya mchakacho katiba mpya kutangaza tarehe ya kupiga kura badala ya Tume?

    Mungu akusamehe urejeshewe akili naona zinakutoka baada ya Laana ya Kumpiga Warioba..Toka lini matakwa ya Sheria yakachanganywa na UDAKU Unaousema? Matakwa ya sheria yanaitaka Tume kusimamia taratibu zote na wala sio Rais..Tubu dhambi akili ikurudie..
  2. FBY 2013

    Watanzania na wenye Mungu wa kweli, mhurumieni na kesheni mkimwombea Amon Mpanju

    Mkuu, Yaani umnikumbusha mbali kipindi UKAWA wapo BMK ,Siku hiyo Mh Jussa alitoa kauli hii.Teh teh teh..
  3. FBY 2013

    CCM yapata pigo Mwanza, Mwenyekiti wa Mtaa wa nera ajiunga na CHADEMA

    You deserve to be a great thinker..
  4. FBY 2013

    Tathmini ya Chabruma Juu ya Upigaji Kura BMK, Chereko kwa CCM, Kilio kwa UKAWA,AKIDI KIULAINI

    Mkuu CCM Wakidhamiria Jambo kuwashinda ni mpaka nguvu kubwa ya Umma itumike,Kama wameweza kulazimisha akidi itimie Bungeni unadhani watashindwa nini kuipitisha katiba yao kwa wananchi..?? Kibaya zaidi na kizuri kwao iyo kura ya Maoni ya wananchi inasimamiwa na Tume ya Uchaguzi iliyochaguliwa na...
  5. FBY 2013

    Bunge Maalum: Rasimu imezingatia Tume ya Jaji Warioba

    Mmetuchosha na Maneno yenu ya Ulaghai,yanatakiwa kupuuzwa na Mtu yeyote anayejielewa,kwa tathmini ya haraka,zaidi ya asilimia 90 ya Members wa JF Wanajielewa,wanauwezo wa kupambanua mambo vizuri kujua kipi ni propaganda na kipi ni fact,na katika hao 90% ni zaidi pia ya 80% Miongoni mwao...
  6. FBY 2013

    TANZIA: Maxence Melo amefiwa na baba yake Mzazi

    Mungu ailaze Roho ya Marehemu Mahala panapostahili,Amein.
  7. FBY 2013

    Ajali Tanzania: Mawazo mbadala kuhusu udhibiti wa ajali Tanzania

    Isijekuwa ni nguvu za soda tuu,maana Tanzania tumea Advance kwa Kufanya kitu pale Matukio yanapotokea..
  8. FBY 2013

    Mtaalamu wa Bakery Products anahitajika

    Exactly Mkuu,awe anafahamu kuoka Mikate,cake,Pizza na Barger....
  9. FBY 2013

    Mtaalamu wa Bakery Products anahitajika

    Eneo la kazi: Morogoro Itapendeza kama atatokea maeneo ya Morogoro,Dar au Pwani. Mawasiliano: Uni PM au businessnow271@gmail.com
  10. FBY 2013

    Mtaalamu wa Bakery Products anahitajika

    Wanabodi, Kwa mwenye mawasiliano/kujuana na Mtaalamu wa Masuala yan Bakery anahitajika Morogoro. Itapendeza ikiwa atapatikana kutoka either Morogoro,Dar, Pwani au Arusha. Kama atapatikane uni PM au Tuwasiliane kupitia businessnow271@gmail.com
  11. FBY 2013

    Happy birthday Freeman Mbowe

    Alizaliwa mwaka wa Uhuru TZ na ndio nature ya jina Freeman,piga hesabu sasa nimekurahisishia..
  12. FBY 2013

    Ajali Tanzania: Mawazo mbadala kuhusu udhibiti wa ajali Tanzania

    Mkuu,karibu utushirikishe mawazo yako pia,tunatamani sana kuyajua ili tupate ufumbuzi...
  13. FBY 2013

    Ajali Tanzania: Mawazo mbadala kuhusu udhibiti wa ajali Tanzania

    Mkuu,tayari hapo kwenye red wewe mwenyewe unakiri kua usafiri wa reli umefanywa wa kusuasua maksudi ili wafanye biashara ya Mabasi ..sasa unafikiri wazo la kurudisha usafiri wa reli kwa sasa ni rahisi kama utatuzi wa haraka kunusuru hali mbaya ya ajali zinazoendelea??????
  14. FBY 2013

    Ajali Tanzania: Mawazo mbadala kuhusu udhibiti wa ajali Tanzania

    Ninafikiri kuna haja ya kutoa Elimu kwa Raia(Abiria) juu ya Haki zao wanapokuwa ndani ya Chombo cha usafiri hii itachangia abiria kuwa aware endapo dereva atakiuka sheria barabarani....Heshima kwako mkuu!
  15. FBY 2013

    Nimeamua kujiondoa CHADEMA kwani ni chama cha kibaguzi

    Jambo la kujiuliza ni kwanini wanaodai wanajitoa CHADEMA kisha wanahamia ACT na si chama kingine cha Upinzani??
Back
Top Bottom