Recent content by fazbt

  1. F

    Miaka 10 ijayo kampuni ya Apple kukosa Soko Afrika

    Wakati kwa Apple Africa kwao sio soko, ziko kampuni kama Transsion Holding (wamiliki wa brand ya Tecno, Itel na Infinix) wao wanazipi kupata faida na bara hili.
  2. F

    Najionea huruma kwa hatua niliyonayo kwa sasa

    unaposema unajihisi sio wewe, uko sawa kabisa. it's not you! ni roho nyingine inakushawishi yote hayo unayopitia! nakushauri ukaombewe. nenda kwa mtu unaeamini anaombea watu na wanafanikiwa. sijajua uko wapi. kama upo dar, nenda kwa mchungaji MWAMPOSA, ukaombewe. piaa kama kuna wazee wa...
  3. F

    App gani nzuri unaweza download movies/Videos YouTube?

    Tafuta app inaitwa TubeMate. Haipo Play store, inabidi uitafute Google, download, then install. Ni nzuri sana!
  4. F

    Harmony OS haijaisadia Huawei, mapato yashuka kwa 30%

    1# ili os itumike katika simu nyingi "it takes time". simu zinazo_run harmony os zinaongezeka kila iitwayo siku, sasa wako kwenye milioni 60, wanatarajia kufikia 300mil mwisho wa mwaka huu. pia inatarajiwa kampuni nyingi za kutengeneza simu kuanza kutengeneza simu zinazo run harmony os, hasa...
  5. F

    INAUZWA Nauza mashine ya kuchomelea (welding)

    pmoses95, niliinunua kipindi najifunza welding, lakini sikuendelea na mafunzo hayo. niliachia njiani. naiuza kwakua sina plani nayo yoyote kwa sasa!
  6. F

    INAUZWA Nauza mashine ya kuchomelea (welding)

    Ndugu zangu wana JF mashine hiyo bado ipo, inawezekana huu ndo muda wako wa kupata mashine nzuri, na kwa bei ya bahati.
  7. F

    Kwa wenye shida upande wa Software za simu na tool tukutane hapa

    Tumia app inaitwa Google Drive. inahifadhi files online, pia unaweza weka copy offline. Siku file zikipotea una download tena app ya Drive, unakuta file zako. Pia unaweza hifadhi file yoyote kama app, picha, video, excel, pdf, program, nk.
  8. F

    INAUZWA Nauza mashine ya kuchomelea (welding)

    Ahsante Hazchem plate. Hii mashine ni ya kusuka, sio ya dukani. Pia ni ya single phase, sio three phase. Na ina njia tano ambazo ni E (Earth), 80A, 190A, 250A na 300A. Sent from my TECNO S1 using JamiiForums mobile app
  9. F

    INAUZWA Nauza mashine ya kuchomelea (welding)

    Habari wana JF Ninayo mashine ya kuchomelea vyuma (Welding mashine) naiuza 150,000/=. Nipo Mtoni kwa Azizi Ali, na mashime ipo Mbezi ya Tegeta Dar es salaam. Nipigie 0719 785 546 Sent from my TECNO S1 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom