Recent content by fazam

  1. F

    Hatma ya Mpina kuwania Urais kuamliwa Mahakama Kuu, kesi kuanza kusikilizwa leo Agosti 28, 2025

    hii ipigwe tu kalenda iishe mwezi wa 12 :D :D :D :D :D
  2. F

    Kesi ya Lissu ime expose uozo wa mahakama

    tunaomba ahirisho la wiki 2:D:D:D:D:D
  3. F

    Puuzeni Uzushi. Mimi Sijateuliwa Popote Pale

    sasa kwa yale majina ..bwana lucas umeona ungeweza toboa kweli...wewe level zako ni tisheti kofia na buku 5....
  4. F

    Majira yametimia ambapo viongozi watakataa viti vyao…

    huoni kama umeandika ujinga..... we umeyajulia wapi...ina maana wewe unaijua mashariki ya kati kuliko raia wenyewe wa mashariki ya kati....na unaelezea upuuzi wako kwa confidence kabisa ...wakati unweza kuta hata kenya tu hapo jirani hujawah fika
  5. F

    Majira yametimia ambapo viongozi watakataa viti vyao…

    umeandika ujinga mtupu....ya kwetu yanatushinda...kazi kujifanya tunajua ya wengine kuliko hata wao wanavyoyajua....
  6. F

    Shuleni kwa mwanangu wanatozwa Tsh. 300 ya usafi kwa mwezi, kwa shule nzima ni pesa nyingi

    jipige kifuani useme roho ya kimaskini itoke....kweli hiyo ni pesa ya kuanzisha uzi...inatakiwa waongeze mpaka iwe 1000....tatizo ni kama usafi haufanyiki....
  7. F

    Wanaovua viatu misikitini ni masikini

    angalia video vizuri uache upopoma......usifikiri kila muda ni muda wa kueneza chuki dhidi ya imani nyingine
  8. F

    Wanaovua viatu misikitini ni masikini

    we ni mjinga mkuu....... https://telegrafi.com/en/Trump-appreciates-the-incredible-culture-of-Islam-as-he-takes-off-his-shoes-and-makes-a-rare-presidential-visit-to-a-mosque-in-Abu-Dhabi/
  9. F

    Wanaovua viatu misikitini ni masikini

    mkuu hapa umedanganya ...standard ya uislam haibadiliki...hamna mtu anyeruhusiwa kukanyaga eneo la kufanyia ibada akiwa na viatu...angalia video kuanzia sekunde 0 mpaka dk 1.00 hawajavaa viatu wote...kuanzia dk 1.21 wote wamevaa viatu...means hapo eneo ambalo halifanyiwi ibada.. angalia hii...
  10. F

    Hijab ni vazi la kidini au utamaduni wa kiarabu?

    unatumia silaha nzito sana
  11. F

    Mwili wa Farao kutoharibika: Si muujiza wa Qur'an bali ni utamaduni wa kawaida wa waMisri wa kale

    ahsante kwa elimu..., 1. lkn pia kwenye uislam Mungu aliahidi kumuweka mpaka vizazi vijavyo vimshuhudie, huoni kitendo cha kuwapa elimu hiyo ya kuhifadhi alikua anatimiza ahadi yake.. 2 .kwa nini manabii hawakuhifadhiwa kama faraos na wapo waliokufa kipindi hicho
  12. F

    Mwili wa Farao kutoharibika: Si muujiza wa Qur'an bali ni utamaduni wa kawaida wa waMisri wa kale

    mi nimekuelewa mkuu..sasa kwa ufahamu zaidi napenda kujua 1. miii mingine ya mafarao (wafalme) ipo wapi 2. ni miili mingine ipi ipo mpaka leo maana ni jambo la kawaida sana hilo kwa kauli zako
  13. F

    Bunge la EU lazitaka nchi wanachama wa EU kusitisha misaada kwa Tanzania. CCM wabuni propaganda ya USHOGA kujipooza na kujifariji

    mkuu inaonekana chuki zimekujaa juu ya imani ya waislamu...hayo mambo ya chuki achana nayo hayatakusaidia kitu..cha zaidi utajiumiza roho tu na roho yako mbaya...na pia ...maeneo yote uliyotaja kuna watu wa imani zote...na ndio maana kuna nyumba za ibada za dini zote....so ushoga sio issue ya...
  14. F

    Njia gani nzuri ya kutatua changamoto kama hii kazini kwangu?

    hiyo kuongea nae kwa kina ,,inatakiwa iwe kina kweli , kama yy sio mmiliki wa kampuni akizid siku moja mtafute nje ya office mtie vitasa sana
  15. F

    Prof Ndalichako alifaa kuwa Mgombea mwenza Oktoba 2025

    mchunguze vizuri huyo unayefanya nae kazi , watu wa kigoma asilimia kubwa hawapo hivyo
Back
Top Bottom