Recent content by FAUMI

  1. F

    Mjadala kuhusu Mke asiye wa Ndoa na Mtoto wa nje ya Ndoa kwenye urithi

    asante...you just read my mind, sheria ya mtoto imeleta mabadiliko hapo...tena makubwa tu.
  2. F

    Wapi nitapata matunda ya strawberry jijini Dar??

    asante sana, nitafuatilia.
  3. F

    Wapi nitapata matunda ya strawberry jijini Dar??

    Habari; Nipo Dar na nahitaji matunda y strawberry, nitayapata wap?? Msaada tafadhali
  4. F

    Ntapata wapi matunda ya stawberry hapa Dar es Salaam?

    habari; Nahitaji matunda ya straeberry na sijui yanapatikana wapi, mim npo Dar!! Msaada tafadhali..
  5. F

    Natafuta fremu ya biashara jijini dar!!

    kati ya wilaya ya ilala na kinondoni...ila isiwe sehemu yenye pilikapilika kama k/koo...ahsante!!
  6. F

    Nahitaji fremu ya biashara jijini dar!!

    habari; nahitaji fremu ya biashara jijini dar, tuwasiliane kwa 0787703107
  7. F

    Natafuta fremu ya biashara jijini dar!!

    habari; nahitaji fremu jijini dar, naomba tuwasiliane kwa 0787703107
  8. F

    Msaada wa maboksi ya kuwekea keki

    asante sana. Nitashukuru...
  9. F

    Msaada wa maboksi ya kuwekea keki

    Salaam; Naomba msaada kwa anyejua mahali yanakopatikana yale maboksi ya kufungashia keki, kama kuna mawasiliano yao au kuelekezwa walipo nitashukuru sana. Asanteni.
  10. F

    Msaada wa maboksi ya kuwekea keki

    Salaam; Naomba msaada kwa anayejua mahali yanakopatikana yale maboksi ya kufungashia keki kwa hapa Dar es salaam, kama nitapata mawasiliano yao au kuelekezwa walipo nitashukuru sana. Asanteni.
  11. F

    Nauza kuku wa kisasa wenye wiki tano bei chee

    standard ni wiki nne, hawa wana kilo 1 na 1/2
  12. F

    Nauza kuku wa kisasa wenye wiki tano bei chee

    hapana.....hiyo si ni maalumu kwa pig? nimetumia broiler boost na ninawalisha mchana na usiku
  13. F

    Nauza kuku wa kisasa wenye wiki tano bei chee

    salamu wanajamii forum; nauza kuku wa kisasa wenye wiki tano kwa shilingi 4900/=....punguzo itategemea na mzigo utakaochukua, tuwasiliane kwa namba 0787703107
  14. F

    Nauza kuku wa kisasa wenye wiki tano bei cheee

    salamu wanajamii forum; nauza kuku wa kisasa wenye wiki tano kwa shilingi 4900/=......punguzo itategemea na mzigo utakaochukua, tuwasiliane kwa namba 0787703107
  15. F

    Sugar paste for cakes

    yani ulichoongea ni ukweli mtupu.....eti mtu hatak kukuambia au anakuongopea....dats y hata wanaotuma video zao youtube wengi ni wazungu...km huwezi kumuelekeza mwenzio basi hiyo ni dalili ya kutojiamini. Halafu ulifanikiwa kupata fondant hapo shoppers??
Back
Top Bottom