F FAUMI Member Joined Sep 30, 2013 Posts 19 Reaction score 2 Nov 16, 2013 #1 salamu wanajamii forum; nauza kuku wa kisasa wenye wiki tano kwa shilingi 4900/=....punguzo itategemea na mzigo utakaochukua, tuwasiliane kwa namba 0787703107
salamu wanajamii forum; nauza kuku wa kisasa wenye wiki tano kwa shilingi 4900/=....punguzo itategemea na mzigo utakaochukua, tuwasiliane kwa namba 0787703107
bluetooth JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 4,401 Reaction score 2,560 Nov 16, 2013 #2 umetumia pig boost? kwasababu naona hii ndiyo style mpya kwa wafugaji wa boilers siku hizi sina uhakika kama ni sahihi
umetumia pig boost? kwasababu naona hii ndiyo style mpya kwa wafugaji wa boilers siku hizi sina uhakika kama ni sahihi
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 64,096 Reaction score 98,400 Nov 16, 2013 #3 Wiki 5 ndio wakoje? Wana uzito kg ngapi? Kwani standard ya kuwauza wanatakiwa wawe na wiki/kilo ngapi?
Wiki 5 ndio wakoje? Wana uzito kg ngapi? Kwani standard ya kuwauza wanatakiwa wawe na wiki/kilo ngapi?
F FAUMI Member Joined Sep 30, 2013 Posts 19 Reaction score 2 Nov 16, 2013 Thread starter #4 hapana.....hiyo si ni maalumu kwa pig? nimetumia broiler boost na ninawalisha mchana na usiku
F FAUMI Member Joined Sep 30, 2013 Posts 19 Reaction score 2 Nov 16, 2013 Thread starter #5 standard ni wiki nne, hawa wana kilo 1 na 1/2
Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member Joined Aug 9, 2007 Posts 19,099 Reaction score 9,268 Nov 16, 2013 #6 FAUMI said: standard ni wiki nne, hawa wana kilo 1 na 1/2 Click to expand... Hapana Standard ni wiki 6. Ndio kuku anakuwa anafaa kuliwa kiAfya ila kibongobongo watu wanauza kwa wiki 4.
FAUMI said: standard ni wiki nne, hawa wana kilo 1 na 1/2 Click to expand... Hapana Standard ni wiki 6. Ndio kuku anakuwa anafaa kuliwa kiAfya ila kibongobongo watu wanauza kwa wiki 4.