Recent content by fatou46

  1. fatou46

    Tundu Lissu: Tanzania’s five years of devastation under the presidency of John Pombe Magufuli

    "Magufuli came to power through democratic elections. He then turned on the democracy that brought him to power and tried to destroy it"
  2. fatou46

    Tanzania kuna huduma ya kuwekeza kwaajili ya elimu ya watoto?

    Nenda Sanlam wanatoa kuanzia 15yrs
  3. fatou46

    Umri umeenda, nataka kuoa ila kimaisha sijajipanga naombeni ushauri pa kuanzia

    Ha ha ha ...watani utawaweza wanataka kusikia mabaya tu ya mwanamke not otherwise
  4. fatou46

    Kamwe usiruhusu mtoto wa kike akuzidi kipato tumia akili kutengeneza hela zaidi yake

    Hizo ndo hasira nzur sasa..angekua mwingine hapo angenunua gunia la mkaa 🤣🤣🤣
  5. fatou46

    Kamwe usiruhusu mtoto wa kike akuzidi kipato tumia akili kutengeneza hela zaidi yake

    Imagine!! Mtu anapata stress sababu una pesa kumzidi!! Ndo maana wanaume wengi wakua wezi ..kazi yao kurubuni wadada wenye kazi zao na kuwaibia pesa.
  6. fatou46

    Wanawake wasomi wana changamoto gani kwenye ndoa?

    Umenifanya nifurahi..kuna mtu alioa mwalimu na lengo lake tangu mwanzo ni kupata mwanamke ambae ataweza kumcontrol kwa vile kamzid kipato.yy yuko bank na anakula mshahara mzur..Kama ilivyo kawaida Mungu si athuman bi dada akapangwa kwenye mrad flan wazungu walikuja wakawa wanatafuta walimu...
  7. fatou46

    Wanawake wasomi wana changamoto gani kwenye ndoa?

    Wanaume wengi ni selfish, jaribu kuwaambia dada zao au watoto wao wasiende shule ili wawe wake bora watakuja na opinion tofauti kabsa..ila kusema dada wa wenzao kila siku ili mradi tu kufurahisha roho zao.wakisikia mashemeji zao wanataka kuwaachisha kazi dada zao wanaweza hata kuua mtu...ha ha...
  8. fatou46

    Wanawake wasomi wana changamoto gani kwenye ndoa?

    You said it well,issue hapo ni nimkwanja tu ndo unaotafutwa..na huu ni ukweli mchungu ambao wanaume wengi hawatak kuusikia wao wanadhani ni mahaba tu..
  9. fatou46

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Natafuta fundi anaeweza kutengeneza vile vibanda vya coffee shop movable
  10. fatou46

    Tetesi: Je, ni kweli kuwa siku hizi ukifanya miamala mikubwa benki unafuatiliwa hata akaunti kushikiliwa?

    Huh! KCB ni worse. Ukitumiwa hela mpaka itoke umefanyakazi aisee, wanasumbua sana wakati mwingine taarifa zote zpo.
  11. fatou46

    Wanawake wema wapo wengi sana!

    Y Yaani! tena personally nahitaji maombi. Anaekupenda humpendi na unajua kuwa unapendwa. Kufanya maamuzi sasa!
  12. fatou46

    Tangu asubuhi niko naangalia TV tu

    Uchumi wa viwanda unaanza na wewe,amka utafute kitu cha kufanya.
  13. fatou46

    Maisha ninayoishi ni ya ajabu kweli, ushauri wako unahitajika

    Naona tunashare some hobbies. Pole ndo ukubwa lakini.
Back
Top Bottom