Recent content by Fatmata

  1. Fatmata

    huyu mume wangu vipi?

    leo hii nimeanzisha thread ya jinsi mume wangu anavyonitenda,sasa amenipiga mangumi na mateke eti ninamboa,nahisi naye ni member wa humu jf]
  2. Fatmata

    Mume amenitenda

    dada yake yeye
  3. Fatmata

    Mume amenitenda

    kama huamini njoo Kalitu-Nzega nitakuonesha nyumba tuliyojenga* huku vijijini gharama ya ujenzi na maisha ni cheap sana!
  4. Fatmata

    Mume amenitenda

    ni kweli kabisa Mungu mmoja!
  5. Fatmata

    Wanaume mwogopeni Mungu

    Kwa anachonitenda mume wangu nachelea kusema wazi kuwa ni vigumu sana kwa wanaume kuurithi ufalme wa mbingu,tumetoka nae mbali,leo ameamua kunifanyia hivi,jamani naomba ushauri wenu kabla sijafanya jambo baya!
  6. Fatmata

    Mume amenitenda

    ndio nini?
  7. Fatmata

    Mume amenitenda

    Siyo witchdoctor,kuna business tulifanya na mume wangu Mungu akatuona na akatukubalia tupate hiyo mil.30
  8. Fatmata

    Mume amenitenda

    Asante sana kwa kunipa moyo,Mungu akukumbuke ktk mahitaji yako
  9. Fatmata

    Mume amenitenda

    Sisi ni wakulima
  10. Fatmata

    Mume amenitenda

    sijakuelewa
  11. Fatmata

    Mume amenitenda

    Kalitu wilaya ya Nzega mkoa wa Tabora kanda ya Magharibi nchi ya Tanzania
  12. Fatmata

    Mume amenitenda

    sidhani kama hiyo itasaidia kumrekebisha!
  13. Fatmata

    Mume amenitenda

    wa tumbo moja kabisa
  14. Fatmata

    Mume amenitenda

    toka tuoane mwaka 2002 tumeishi kwa amani na upendo,sote hatukua na ajira,sasa mwaka jana tumepata zali la mil.30,tumenunua gari na kujenga nyumba nzuri,sasa hivi mwenzagu amebadilika,analewa sana,nyumbani analala siku anazotaka,analeta mahawala zake chumbani,hashauriki,anatumia pesa hovyo...
Back
Top Bottom