Recent content by fatimata

  1. F

    Msaada: Anayefahamu kituo cha kulea watoto yatima

    Zaidia orphanage center, kipo Sinza, dar es Salaam......watoto wanahitaji msaada
  2. F

    Rais, Tanzania si chochote katika utalii

    Hongera Ndugu kwa uchambuzi...."No research no right to speak"
  3. F

    Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

    Hapo kwenye lishe ya mtoto wa siku moja mpaka miezi sita, maziwa ya mama peke yake hayatoshi. kuna haja ya kuongezea uji mwepesi kadiri mtoto anavyokuwa, maana watoto wengine jinsi anavyokuwa maziwa ya mama hayamtoshelezi. utakuta mtoto hapati usingizi vizuri sababu ya kutokushiba vizuri
  4. F

    Ukiolewa bila bikra ujue mwenzio anakuchukulia ulikuwa malaya

    Naunga mkono hoja hii, nikiwa kama mwanamke suala la kutoka nje ya ndoa yako kisa kuna aliyekuanza kabla ya ndoa ni akili na maamuzi ya mtu.
  5. F

    Je, Wanaume wengi hufa mapema kutokana na msongo wa mawazo (frustrations) unaosababishwa na wake zao?

    Ni kweli kabisa. na kwa kuongezea wanaume wanazeeka mapema sababu ya kutembea na wanawake wengi. utakuta jamaa ana mke na mahawara kibao..too much sex inazeesha
  6. F

    Watakao bahatika kuwa hai mwaka 2056 watakuwa na bahati kubwa sana

    Hapo umemaliza kila kitu. chukuwa tano
  7. F

    The less you know, the happier you are!

    DU! inauma sana. ila tujipe moyo
  8. F

    The less you know, the happier you are!

    Nafikiri ni uamuzi mzuri wa kuacha kusaidia watu ambao wamepewa nafasi ya kujikomboa wakaiacha, halafu mwakani wakidaiwa ada za shule wanaazna kuomba misaada...tuwachinjie baharini.
  9. F

    Watanzania wakataa "ELIMU YA BURE HADI UNIVERSITY"

    Inasikitisha sana. Sijui ni lini ndugu zetu wa vijijini wataamka toka usingizini? :angry:
  10. F

    Nani anamkumbuka Mzee Majambo?

    Murukulazo namkumbuka huyu mzee alikuwa anauza karanga mitaa ya mwananyamala na ilala, mavazi yake yalikuwa yakitisha watoto. karanga zake zilikuwa nzuri sana
  11. F

    Ajali mbaya Mbezi Mwisho (Dar): Basi la Najimunisa lagongana na Land Cruiser

    Tumuogope Mungu tuseme ukweli. Nilikuwa kwenye gari karibu na nilishuhudia hiyo ajali, land cruser ndiyo iliyo overtake na kusababisha ajali, basi lilikuwa upande wake
  12. F

    Tabia gani ambazo hupendi ukiwa kwenye daladala au basi la abiria?

    Jamani nachukia tabia ya kuchokonoa pua bila handkerchief, kama vile yuko bafuni. na wale wanaochokonoa meno na stick.
  13. F

    Soma uwezavyo ukiwa kwangu hamna kufanya kazi

    Nani atatunza familia ikiwa utatangulia mbele za haki?
  14. F

    Soma uwezavyo ukiwa kwangu hamna kufanya kazi

    Ukitangulia mbele za haki nani atatunza familia?
Back
Top Bottom