Recent content by fatherliva

  1. F

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    tanesco ni warasimu sana .
  2. F

    JamiiForums Tanzania Wanaoisema vibaya serikali mitandaoni kukiona

    kwa hyo mh.waziri hata kama tunaumizwa na tozo tusiseme.ibara ya 18 ya katiba yetu iheshimiwe na kila raia wa nchi hii
  3. F

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    nimewatumia taarifa zote muhimu,mpaka sasa hakuna lolote lililofanyika .Pengine mpaka niwasiliane na MAHARAGE CHANDE
  4. F

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    hili shirika la umma lina urasimu kuliko shirika lingine lolote,yani we ni mteja lakini kupewa huduma mpaka utoe rushwa na kuwabembeleza sana .Inasikitisha sana
  5. F

    JamiiForums Tanzania Walimu, madaktari mnaojitolea mjitafakari

    Ni dhahiri nchi yetu haithamini wataalamu kama wanasiasa,unaweza kupitia vigezo vya mtu kuwa mbunge katka katiba yetu ibara ya 67(1) alafu ulinganishe stahiki zake na watalaamu hususani sekta ya afya na elimu. Hivi sasa kuna madaktari wanaojitolea katika hospitali mbalimballi nchini na walimu...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Pongezi

    tatiz
  7. F

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye mawasiliano ya SIDO

    Nawasalimu wanajamvi habari zenu! naomba mwenye mawasiliano ya SIDO au kama wana account humu jf namba tuwasiliane nina jambo nahitaji ufafanuzi kutoka kwenu.
  8. F

    JamiiForums Tanzania Pongezi

    Bado sijapata softy copy nipo naifatilia hapa UTV
  9. F

    JamiiForums Tanzania Pongezi

    Pongezi nyingi zikufikie popote ulipo CAG zanzibar,unaipenda kazi yako,umefanya kazi yako kwa weledi. Umewasilisha ripoti ambayo kama Rais Mwinyi ataamua kwa dhati kuifanyia kazi tunategemea baraza lote la mawaziri kujiuzulu ili kuonesha kuna uwajibikaji. Anayejua jina la huyu CAG anijulishe...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Dr. Msukuma leo ataongea na waandishi wa habari kufafanua sheria ya tozo na makato ya benki waliyoipitisha bungeni

    hapo kwanza ngoja nchekee yan Tanzania ukifa kwa stress umetaka mwenyewe
  11. F

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali: Mtu anayepinga tozo na kodi kwa maendeleo ya Taifa akamatwe

    UJINGA ,MARADHI NA UMASKINI BADO NI TATIZO.KAMA UNGEWEZA KUNAMBIA VAT NA TOZO NANI ANACHUKUA KWENYE MUAMALA NA UKANAMBIA MAANA YA DOUBLE TAXATION NINGEUNGA MKONO HOJA.
  12. F

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    JINA:ROZA MSWAGA NGINIRA. WILAYA:MUSOMA TATIZO:NIMEOMBA KUUNGANISHIWA UMEME TOKA MWEZI WA SITA MWAKA JANA WAKATI MRADI WA REA UPO KIJIJINI KWANGU LAKINI MPAKA LEO SIJAPATA UMEME.NIMEAMBIWA NIOMBE UPYA KUPITIA I KONEKT LAKINI GHARAMA YA KUINGIZIWA UMEME ITAKUWA LAKI SITA KWA SABABU MRADI...
  13. F

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco mkoa wa MARA kuna urasimu mwingi unaendelea na mkitafutwa hamtoi ushirikiano unaohitajika. Nimefanya wiring tangu mwezi wa sita mwaka jana nimefuatilia napigwa danadana, watendaji wa chini wanataka nitoe rushwa ili zoezi liwe jepesi. Kiukweli hili shirika lina changamoto moto sana kwenye...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Mwekezaji afunga kiwanda kwa kukosa umeme

    TANESCO
  15. F

    JamiiForums Tanzania Kisheria, vijiji vinavyozunguka mgodi inatakiwa vitengewe asilimia ngapi?

    kisheria, vijiji vinavyozunguka mgodi inatakiwa vitengewe asilimia ngapi au fedha kiasi kwa ajili yamaendeleo kila mwaka?
Back
Top Bottom