Recent content by Father of Chemistry

  1. Father of Chemistry

    Je, unaifahamu Canva?

    Hapa unaweza kushare za canva boss
  2. Father of Chemistry

    Je, unaifahamu Canva?

    Za asubuhi wanaJF. Leo ikiwa ni Jumanne tulivu, wanaJF wakitokea kwenye weekend ndefu kuanzia Jumamosi. Ninaanza kwa swali kama kichwa kinavyosema, Je unaifahamu CANVA? Share designs uliyotengeneza kwa kutumia hii software ya CANVA. Natumai kwa wale wote ambao hawaifahamu ni mwanzo mzuri wa...
  3. Father of Chemistry

    MSAADA: Tatizo ni meno kuwa na rangi nyeusi (Meno 🦷)

    shukran boss…!! hii inafanya kazi 🫱🏿‍🫲🏻🫱🏿‍🫲🏻
  4. Father of Chemistry

    MSAADA: Tatizo ni meno kuwa na rangi nyeusi (Meno 🦷)

    HABARINI ZA WEEKEND WANA JF, Natumai mu buheri wa afya. Kwa Ufupi Mimi ni kijana wa kiume miaka 22. Ni mwanafunzi wa chuo kikuu kimojawapo apa Tanzania. Nimeandika huu uzi kuomba msaada ni dawa gani nzuri ya meno au tiba ambayo itatumika kungarisha meno. Apa tatizo ni meno kuwa na rangi...
  5. Father of Chemistry

    Sabaya afanyiwa upasuaji wa kichwa

    Mawakili wa upande wa utetezi kwenye kesi namba mbili ya mwaka 2022, inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne wameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi kuwa hali ya Sabaya ni mbaya baada ya kufanyiwa upasuaji mkubwa wa kichwa Julai 27,2022. Sabaya...
  6. Father of Chemistry

    Madhila gani ulikumbana nayo kwa kumkopesha mwanamke?

    Haha 😆 unakopesha then unaitwa mwizi. Asaa ulitulia kama kweli vile au naimagine apa mpk nacheka 😂😂😂
  7. Father of Chemistry

    Uchumi wa dunia utakua kwa 4.4% mwaka 2022

    Damn 4.4% the rest 95.6 zipo kwenye mwez au. 😮🤔🤔🤔
  8. Father of Chemistry

    SoC01 Faida atakayopata kijana baada ya kuoa

    ANTI VIRUS 😂😂😂😂 alimaarufu kama pinga pinga FC
Back
Top Bottom