Ni kweli kama tuna rais anayependa udaktari wa dezo unategemea nini? Angalia waliomzunguka akina Mwigulu na Daffo na PhDs zao za kutia shaka. Ni balaa hasa mwanangu
Ujinga mwingine bwana. Mungu huyo wa Israel ameshindwa kuilinda dhidi ya Hamas unataka alinde pande kubwa la ardhi kama Afrika? Umetumia mantiki gani mwanangu Bujibuji au umebubujikwa?
Taarifa ziko mitandaoni na kwenye vyombo vya habari kuwa rais Samia Suluhu Hassan ameipa Zambia ardhi eneo la Kwala kujenga bandari kavu. Ajabu, wakati sheria ya Tanzania iko wazi kuwa asiye mtanzania haruhusiwi kumilki ardhi, rais anagawa ardhi kwa wageni. Je huku si kuvunja sheria?
Je huu si...
Sijui ametumia akilii gani. Atagawaje ardhi yetu kwa nchi yenye ardhi utadhani mali yake binafsi. Rais hana ardhi bali ni msimamizi tu. Kumbe ndiyo maana anagawa bandari zetu! Kama Zambia wanafanya biashara walipaswa kununua siyo kuzawadiwa. Inakuwaje wageni wamilki ardhi wakati wana diaspora...
Hata masta ya maza ni ya mazabe. Itafute uone ilivyo paper iliyoandikwa na watu zaidi ya mmoja.
Hayuko peke yake. Angalia andiko la master's ya mama yenu muamue in case lile nililobandika independently likauawa
https://core.ac.uk/download/pdf/71365931.pdf
usomi ni kitu kinachopendwa sana hasa na wale wasio na ubavu wa kusoma. Viongozi wetu wa kada zote wanapenda kujibebesha au kubebesha kwa kuzawadiwa vyeo hivyo baada ya kuhonga ili waheshimike bila stahiki. Leo nawaleteeni masters ya mkuu wa kaya muamue wenyewe kama ni somi au kihiyo.
Pamoja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.