Recent content by father j.

  1. father j.

    JamiiForums Tanzania Sony xperia m, mfano wa kuigwa kwa simu za bei ndogo

    Jamani galaxy s2 plus imeanza vituko inastuck mara nyingine inazima ghafla naombeni msaada wana jf
  2. father j.

    JamiiForums Tanzania Sony xperia m, mfano wa kuigwa kwa simu za bei ndogo

    Respect chief imefaa bana
  3. father j.

    JamiiForums Tanzania Ni apps gani za android & iphone unazotumia au kujua

    Du na mie naomba unitumie plz ringevger@yahoo.com
  4. father j.

    JamiiForums Tanzania Sony xperia m, mfano wa kuigwa kwa simu za bei ndogo

    Mf.ninatumiwa e mail lkn zinakuwa na maandishi madogo saAna kias kwamba inakuwa ngumu kusoma kaka
  5. father j.

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Instagram ebu tupeni maujanja

    Nimefanya kama ulivyonielekeza mpaka mahali pa kupewa namba ya skype nikaambiwa nichague nchi nyingi mpaka afrika kusini nimeiona sa hapo pamenichanganya so naomba msaada wako tena mkuu
  6. father j.

    JamiiForums Tanzania msaada jamani

    Angalia kwanza kama inasupport hiyo application kwan sio kila cm inasupport
  7. father j.

    JamiiForums Tanzania Sony xperia m, mfano wa kuigwa kwa simu za bei ndogo

    Chief naomba msaada pia wAtumiaji wa galaxy s11 namna ya zoom set up kwenye hii simu jaman
  8. father j.

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Instagram ebu tupeni maujanja

    Matola nisaidie namna ya kusign up kwenye skype natumia galaxy s11 plus
  9. father j.

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wajanja wa town net ya bure hii hapa fuata step hizi chache ufanye yako

    Kaka na ss wenye simu vp?mi natumia galaxy s2 plus tupeni maujanja bana
  10. father j.

    JamiiForums Tanzania Msaada TECNO D3

    Nimecheki haina 3g
  11. father j.

    JamiiForums Tanzania Msaada TECNO D3

    Nenda kwa google andika hiyo simu yako then soma specification ya network kama ipo utaiona
  12. father j.

    JamiiForums Tanzania Sony xperia m, mfano wa kuigwa kwa simu za bei ndogo

    Who is best Huawei ascend p2 vs experia L
  13. father j.

    JamiiForums Tanzania Sony xperia m, mfano wa kuigwa kwa simu za bei ndogo

    Nimeagiza experia L mkuu ila nimeshtuka nlpoangalia opinions kwenye GSM Arena wengi wanalalamikia camera kaka is it true kuwa ina poor picha
  14. father j.

    JamiiForums Tanzania Simu gani ipo juu ninayoweza kuipata kwa bajeti ya shilingi laki moja

    Wakuu samahanini nami naombeni msaada ni ipi Kati ya experia m na huawei ascend p2 nzuri ZAIdi.nisaidieni plz
  15. father j.

    JamiiForums Tanzania Sony xperia m, mfano wa kuigwa kwa simu za bei ndogo

    Nisaidieni Wakuu hivi kuna experia feki?kama ndio nitajuaje
Back
Top Bottom