msaada jamani

msaada jamani

Pampula jr

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2013
Posts
606
Reaction score
193
habari za jioni wakuu naomba msaada namna ya kufungua akaunti skype maana nimejaribu ila inashindikana na ninatumia nokia e 63
 
Angalia kwanza kama inasupport hiyo application kwan sio kila cm inasupport
 
Nenda Skype.com kwenye computer kufungua account. Uwezo wa kutumia Skype kwenye simu yako inategemea kama kuna app ya Skype kwa ajili ya simu yako.
 
Ndugu zangu natumia tecno p3 na nime instal hii app ya jamii forum nashindwa kuona picha zinazotumwa na wanajamii nsaidien jman
 
Back
Top Bottom