Recent content by father icon

  1. father icon

    JamiiForums Tanzania Nimeponea tundu la sindano kufa. Serikali ichukue hatua, kuna mlipuko unaua kimya kimya

    Umepitia Hospital kuangalia tatizo kwanza???
  2. father icon

    JamiiForums Tanzania Nimeponea tundu la sindano kufa. Serikali ichukue hatua, kuna mlipuko unaua kimya kimya

    Yamenikuta wala sio utani ila nimepambana nayo kwa mazoezi mpaka sasa afadhali na sio mimi tu na jamaa zangu pia wanayo mafua makali kichwa wanapambana pia kwa dawa za mafua za hospital lakini kuisha yanachukua muda sio ya kawaida aya mimi mtu wa mazoezi yamenipelekesha
  3. father icon

    JamiiForums Tanzania Vifaranga vya kuku vimekufa vyote tatizo ni nini wengine hata vichwa hawana

    Kama ni vifaranga chunguza kwanza banda kuna mdudu au panya buku mkubwa anayeingia humo ndani na kusababisha hali hiyo.
  4. father icon

    JamiiForums Tanzania Clear Offside kabisa

    Funga na wewe hiyo offside kama ni rahisi[emoji23]
  5. father icon

    JamiiForums Tanzania Huu Ni ukweli mchungu

    AZAM
  6. father icon

    JamiiForums Tanzania Nikiingiza kichwa tu lazima acheke

    kesho ingiza mguu utapata Matokeo
  7. father icon

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kufungua ‘bakery’ ya mikate , fuata hatua hizi rahisi

    Somo zur Sana nashukr Sent using Jamii Forums mobile app
  8. father icon

    JamiiForums Tanzania IFAHAMU RATIBA YA VIPORO VYA SIMBA

    Duh Simba wanakibarua kigumu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom