Recent content by Fatal5

  1. Fatal5

    Mkutano wa CAF wapitisha maombi ya Zanzibar kuwa mwanachama huru

    Watarudishiwa tu kiti chao cha UN kwani bado kipo
  2. Fatal5

    Mkutano wa CAF wapitisha maombi ya Zanzibar kuwa mwanachama huru

    Watarudishiwa tu kiti chao cha UN kwani bado kipo
  3. Fatal5

    Zanzibar ilivyofisadiwa hadi kutishiwa kukatiwa umeme

    hamujielewi nyie Watanganyika sie tunajua tunafanya nini Mkoloni mweusi tu na Jeshi lake ndio limetufikisha hapa...Tanganyika na jeshi lake ingekuwa haiingili uchaguzi wa Zanzibar basi leo hii tungekuwa dola huru yetu na kupiga hatua kubwa kimaendeleo. Makonda hawezi kukagua vikosi vya ulinzi...
  4. Fatal5

    Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein atangaza Baraza lake la Mawaziri

    Sasa kwa nini watanganyika munaogopa kuitisha kura ya maoni mukavunja muungano kila nchi iwe kivyake....umesahau kuwa Benki ya Tanzania ni bank ya nchi 2 Zanzibar na Tanganyika
  5. Fatal5

    Maandamo ya CUF mjini London, Waiomba Uingereza Isaidie mgogoro wa Zanzibar

    Maandamano yalianza central london hadi kwa ofisi ya waziri mkuu wa uengereza 10 Downing Street........unapajua nini?
  6. Fatal5

    Maandamo ya CUF mjini London, Waiomba Uingereza Isaidie mgogoro wa Zanzibar

    wenzetu wanafuata democrasia wewe mbwira....... ukishakupewa kibali tu na polisi watakulindeni muandamane in peacefull way
  7. Fatal5

    Maandamo ya CUF mjini London, Waiomba Uingereza Isaidie mgogoro wa Zanzibar

    sio mara ya kwanza kwa wazanzibari kufanya maandamano ughaibuni kwa ajili ya kuitetea Zanzibar yao....zile ni nchi zinazofuata democrasia wewe sio TZ Hata katiba ya nchi haifuatwi:shock:
  8. Fatal5

    Maandamo ya CUF mjini London, Waiomba Uingereza Isaidie mgogoro wa Zanzibar

    hao wote ni wazanzibari wenye British citizen lakini wana jiProud na utamaduni wao wa Kizanzibari:angry:na hawatokata tamaa mpaka ya mapambano mpaka Zanzibar huru ipatikane:poa
  9. Fatal5

    Maandamo ya CUF mjini London, Waiomba Uingereza Isaidie mgogoro wa Zanzibar

    Wazanzibari wapo UK tokea Zanzibar ilipovamiwa na Jeshi la Tanganyika na kuuharibu uhuru wa Zanzibar.....hao wote ni British citizen lakini wana jiProud na utamaduni wao wa Kizanzibari:angry:
  10. Fatal5

    GE2015 UKAWA ni Genge hatari kwa amani, utulivu na maslahi mapana ya Tanzania

    kwenda kule wewe na post yako ya utumbo.... haya majembe 2 ndio story za mjini sasa hivi
  11. Fatal5

    Kundi la Uharamia la Ubaya Ubaya ( janjaweed), waua na kujeruhi wengi (Unguja) Zanzibar

    Katibu Mkuu wa CUF, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad amehudhuria mazishi ya Hemed Salum Hemed (38) aliyefariki katika ajali ya barabarani iliyotokea wakati akirudi katika mkutano wa hadhara wa chama hicho uliofanyika Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja. Marehemu ambaye ni mkaazi wa Kinuni...
  12. Fatal5

    Vijana wa Dar na Vibegi mgongoni

    Ndio Swag za mtoni hizo za vijana wa mitaani zilianza tokea miaka ya 90s huko mtoni sasa hivi zimeangukia Bongo:cool2:
  13. Fatal5

    Digital camcorder zinauzwa (brand new)

    nauza digital camcorder aina mbali mbali.....samsung, jvc ,panasonic. Zote brand new
  14. Fatal5

    All-in-One (Print, Scan, Copy)Epson Stylus CX4300

    Stylus CX4300 All-in-One (Print, Scan, Copy) Color InkJet Printer, 5100dpi x 1400dpi, Black – 25ppm, Color – 13ppm, USB The Epson Stylus CX4300 is ideal for the home and small office user, offering a complete printing and copying solution. It provides high quality direct printing using either...
Back
Top Bottom