Recent content by Fataki

  1. F

    Jesca Kishoa, atakiwa kupeleka bungeni ushahidi wa Mabehewa hewa ya bil 238

    Mbunge wa CHADEMA aliyejitambulisha leo jioni Bungeni kuwa ni "Mke wa Kafulila" amepewa siku tatu alithibitishie Bunge kuwa Serikali ilipoteza sh. Bilioni 238 kwa kununua mabehewa ya mizigo mabovu, baada ya Waziri wa Katiba na Sheria Dk. Harrison Mwakyembe kumbana athibitishe madai yake kwani...
  2. F

    Kesi ya uchaguzi Kyela: Mwanyamaki aruhusiwa kulipa sh. Mil.3 badala ya sh.mil 15

    Mahakama Kuu Mbeya imemkubalia mgombea ubunge wa Kyela aliyeshindwa Abraham Mwanyamaki alipe sh.mil.3 tu badala ya sh.mil.15 kama dhamana kwenye kesi ya Uchaguzi ambayo amemfungua kupinga matokeo ya Uchaguzi huo. Dk.Mwakyembe ambaye alikuwemo mahakamani wakati Jaji akisoma uamuzi huo...
  3. F

    Mjengwa, Mbwambo, Kubenea, Manyerere, Waandishi, walishindwaje kubaini madudu ya Bandari na TRA?

    Tatizo kubwa la Kubenea ni elimu ndogo na kutegemea wengine wamwandikie habari (Ndimara Tegambwage et al). Hakuna kitu kichwani pale, bali umbeya!
  4. F

    Dr. Francis Michael, Dr. Tulia Ackson: Mmeonesha picha gani? Mmechafuka

    Weewee unachanganya mambo. Kuna Prof. Msambichaka wawili: mmoja mchumi na mwingine mhandisi. Aliyekuwa bandarini ni injinia!
  5. F

    Mwakyembe, Sitta 'walisafisha' nini Bandarini?

    Hii ndo Bongo. TRA ndo TRL, TPA ndo TPC, Wizara ya Uchukuzi ndo Wizara ya Fedha n.k.
  6. F

    Mwakyembe, Sitta 'walisafisha' nini Bandarini?

    Wewe kweli darasa la saba hujui tofauti ya mamlaka ya Waziri wa Uchukuzi na Waziri wa Fedha. Ulitegemea Waziri wa Uchukuzi aisafishe TRA? Ana mamlaka nayo? Spurious logic!
  7. F

    Dr. Mwakyembe kufikishwa mahamakani kwa Utapeli

    Kubenea yupi, yule bendeara ya Mengi, sasa bendera ya Lowassa? Naapa, hata kama sina ushahidi kuwa kwenye taarifa hii Kubenea kavuta kutoka kuwa bilionea EL.Lengo linaweza kuwa kumdhoofisha Mwakyembe asimshughulikie EL kuhusu Richmond.
  8. F

    Rais wetu John P. Magufuli furahia uondokaji huu wa vigogo wa CCM mikoani na wilayani

    Wewe, hata jina unakosea: ni Magufuli, si Magufuri! Ni sawa na kusema Rowassa badala ya Lowassa.
  9. F

    Kikwete alisema Upinzani utakiona cha Mtemakuni,Ameanza kutumia jeshi la Polisi.Tusikubali..

    Hoja ya kipuuzi. Kwani Magufuli alikuwa anakwenda kuzika?
  10. F

    Mbunge wa Kyela, Dr. Harison Mwakyembe aifunga radio ya jamii ya mpinzani wake kisiasa

    Hivi Kyela kuna wasomi kweli? Mbunge atafungaje redio? Ama kweli Mbeya ni ya wambea watupu! Singida vilevile tumefungiwa redio pamoja na Kyela. Lakini porojo za kumtafuta mchawi ni Kyela tu! Pole Mwakyembe kwa kuongoza wilaya ya aina hiyo!
  11. F

    Mwakyembe umetusaliti

    masopakyindi Kwa kweli sijaona hoja yako ndugu, umetumia kigezo gani kumlinganisha mhe. Mwakyembe na mhe. Mwandosya kwasababu kama ni political impact, mwakyembe yupo juu(nikimaanisha,he brought more change) kama ni elimu, bado mwakyembe yupo juu kama ni leadership skills, both ni viongozi but...
  12. F

    Dr Harrison Mwakyembe awa gumzo na tishio kwa watangaza nia.

    hivi watanzania mnataka mpaka aje mtu waaina gani, ili uweze kujua anafaa. yani inakua kama hatuna elimu, hivi ni waziri gani au mwanasiasa gani alieleta impact kubwa kwenye serikali hii kama mheshimiwa mwakyembe. kwanini mnakua wagumu kuelewa nguvu kazi alioiweka huyu mzee kutetea maslai ya...
  13. F

    Nyaraka muhimu za skendo ya Wizara ya Ujenzi

    Duh! Usafi wa Magufuli uko kwenye nyumba za Serikali alizouza? Na usafi wa Sitta uko katika kung'ang'ania kukaa kwenye nyumba ghali ya fahari ambayo Serikali inalipia kwa zaidi ya sh. Milioni 110 kwa mwaka?
  14. F

    Mwakyembe aelezea suala la mabehewa feki, ajibu yaliyoandikwa Nipashe

    Friends of Lowassa wanazoza! Zoza mwanangu zoza, kuna mshiko!
Back
Top Bottom