Mnyika ana CHARSMA na GOOD CHARACTER ndiyo maana akatambua unyeti wa Ikulu,huyu kijana ni Rais mtarajiwa,endelea kupambana miaka 15 ijayo utakuwa umejengeka vizuri kiungozi,unakipaji na uwezo wa kiuongozi.
Mwenyekujua Historia ya Israel lazima aibariki lakini mbumbumbu wa Historia ya Israel lazima ailaani,pia ukisoma Biblia Mwanzo na Kutoka yote utaielewa ISRAEL vyema.Ni kweli namwomba Mungu Rais ajaye awe na maono ya kufungua ubalozi Tanzania
hawa ATC wamekosa kazi yakusafirisha barua za ccm kwenda kwa Zitto sasa wanajifanya mmbadala wa CHAMA MAKINI KAMA CHADEMA kinachogundua wauaji wa demokrasia na upinzani na kuwachinjia baharini,hakuna mbadala wa ccm kama cdm,atc ni vibaraka wa na mawakala wa kuua upinzani lkn wameshapotea njia na...
hongera Mnyika kwa kukubali kuonyesha uzalendo kwa vijana wajitoe kupigania haki na usawa ktk nchi yetu.sasa ni zamu ya Nape na Ridhiwani kujieleza juu ya elimu yao.karibuni
CADEMA inachanja mbuga,inaitimulia ccm vumbi sasa inauma inataka kutumia chopa 3 kata 3,mbona mmesahau kutoa komment zenu baada ya matokeo ya jumla ndo mpate cha kusema,jiandaeni kisaikolojia kuichia CHADEMA IKULU japo inauma lakini Watanzania wameamua,CHADEMA JUUUUUUUUUUUUUU,mafisadi...
Kabisa,kama ameweza kuwaendesha mafisadi mchakamchaka mpaka wasomi na vijana wakamuunga mkono,nakuleta mabadiliko ya kisiasa hadi mafisadi wakakosa hoja wakabaki kutumia dola kuzima hoja badala ya kutumia elimu walizo nazo,je nani mkali hapo?nani aliye elimika?anaye tumia dola au hoja.cdm moto...
Kuwa na elimu kubwa ni vizuri maana unaongeza IQ lakini haisadii katika uwajibikaji?maendeleo yanaletwa na ushawishi wa kiongozi ktk kutumia rasilimali asili,watu na kuziunganisa na mlengo ndo maendeleo na si elimu peek.Mbona tuna Prof Maghembe,Dr Kawambwa n.k lakini wizara zao zina...
Ulitaka kumhoji kwa lipi akakataa iwe ndo ushahidi wako,pia wote waliotimuliwa wameshindwa kumbana kwa chochote hivyo inathibitisha bosi wao hakuwa na shida isipo kuwa ULEVI WA MADARAKA NA TAMAA YA PESA imewaua kisiasa.lkn ndo funzo ili wajifunze na wengine.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.