Recent content by fast jet

  1. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania kusali kabla ya TENDO LA NDOA

    du! Mimi sijawai...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Mpiga debe wa Kampeni za Ubunge wa Mbowe Ajitoa Rasmi CHADEMA na Kurudi CCM

    mods rudisheni uzi wa Ben, nimeongea na katibu wa cdm hai bwana Korineli Makere mda si mrefu akuja kuthibitisha
  3. F

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, Angalieni jinsi CCM wanavyotumia vyombo vya habari kuwachafueni!

    mkuu kama ana access na media hizo habari atazipataje?
  4. F

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, Angalieni jinsi CCM wanavyotumia vyombo vya habari kuwachafueni!

    kweli mkuu hii ccm kimejaa laana tupu wamengoza miaka zaidi ya 50 hakuna walicho fanya kama si laana nn?
  5. F

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, Angalieni jinsi CCM wanavyotumia vyombo vya habari kuwachafueni!

    mkuu usitishike na hayo maneno, hayo maneno ndo yanazidi kuimarisha chama chetu cdm, watu wengi wakisikia cdm kinavurugu huwa wafatilia hizo vurugu ziko wapi mwisho wa siku wanakuja kugundua hakuna kitu kama hicho sasa hapo ndo ccm wanazalilika wanaonekana niwaongo
  6. F

    JamiiForums Tanzania Nape unasemaje sasa kuhusu falsafa mufilisi ya kujivua gamba?

    nape akionaga uzi kama huu huwa anafungaga macho..
  7. F

    JamiiForums Tanzania Kofia ya Mwigulu: Maswali kuliko majibu

    kofia ni ya jeshi la china na bomu la Arusha made in china
  8. F

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni chama cha kisichothamini wanasiasa vijana

    acha uongo mkuu, moja vigezo vya mbunge ajue kuandika na kusoma si lazima uwe na shaada ndo uwe kiongozi.. Sijui wewe unaishi tz gani?
  9. F

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni chama cha kisichothamini wanasiasa vijana

    mkuu kama Zitto anaminywa asingekuwepo kwenye hiyo nafasi angeondoleo Acha kundikia mate mkuu..
  10. F

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni chama cha kisichothamini wanasiasa vijana

    Elimu si uongozi mkuu, mbona jk anakadgr kake anaingoza ccm yenye maprofesa na phd...
  11. F

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni chama cha kisichothamini wanasiasa vijana

    kwaiyo umekubaliana mimi kuwa asilimia kubwa ya uongozi chadema ni vijana sio?
  12. F

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni chama cha kisichothamini wanasiasa vijana

    mbona hii ID inanukia mchemba mchemba, mkuu karibu tena kwi kwi kwi
  13. F

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni chama cha kisichothamini wanasiasa vijana

    elizea zitto afanyiwa nn? Chadema ni chama ambacho kina kinaongoza kwa vijana wengi kuliko chama kingine tz bisha nikuletee fact..
  14. F

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, ndani ya Star TV katika Medani za Kisiasa na mstakabali wa Siasa za Upinzani

    cdm hakuna makada kuna makamanda
Back
Top Bottom