Recent content by farufausta

  1. farufausta

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa awamu hii wanaigharimu Serikali

    Nilitaka kusema afadhal nimekuta ushasema [emoji817]
  2. farufausta

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday mwamba wa Afrika, Rais John Pombe Magufuli

    Hivi mwamba ndo jiwe?
  3. farufausta

    JamiiForums Tanzania GE2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

    Bado naendelea kusubir kikulikane kisichojulikana
  4. farufausta

    JamiiForums Tanzania GE2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

    Mnipe na mimi gawio nianzishe thread ya kumsifia Membe!!
  5. farufausta

    JamiiForums Tanzania GE2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

    Sio bure kuna watu wamejazwa wakajazika
  6. farufausta

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Puga [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  7. farufausta

    JamiiForums Tanzania Sio Lissu wala Nyalandu mwenye uwezo wa kushindana na Magufuli 2020

    Nilitaka kuikubali hoja yako kwa asilimia fulani lakini ulivyoleta mapendekezo ya anaefuatia hoja nzima imeonekana ni boko
  8. farufausta

    JamiiForums Tanzania GE2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

    Aiseeh mwambieni anilipe na mimi nianzishe thread ya kumsifia
  9. farufausta

    JamiiForums Tanzania UZWAZWA: Pale MTEKAJI & Mtesti wako anapokuomba kazi ya kuwa MLINZI wako na wewe ukakubali.....

    Bado nawaza, hivi kweli utakuwa unamaanisha hiki ninachokifikiri mimi
  10. farufausta

    JamiiForums Tanzania Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

    Epuka kutumia mashine za ndevu, Nenda kanyoe saloon au tumia magic powder. Nilwahi kuwa muhanga ila baada ya kufuata hiki nikasahau kabisa
  11. farufausta

    JamiiForums Tanzania KATI YA WAKUU WA MIKOA 35, DAR IMEPATA SUPER RC

    Inawezekana kweli ana sifa lakini sio kwa kiasi hicho
  12. farufausta

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    VODACOM mlinifanya nijute kwann nilishawishika kutumia M PAWA. Nililazmika kukopa pesa kwa mtu na kuingia kwenye madeni wakati nina pesa ya kutosha tu M Pawa kisa tu iligoma kutoka, siku tatu nzima. Siku nimefanikiwa kutoa nilitoa yote na sitokuja kuweka tena pesa M PAWA, maana hii m pawa...
  13. farufausta

    JamiiForums Tanzania ATCL yarejea katika Shirikisho la Mashirika ya Ndege Duniani (IATA). Sasa kuuza tiketi dunia nzima

    So hatuna madeni tena!? Tushalipa?
  14. farufausta

    JamiiForums Tanzania GE2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

    Sawa tumezpokea Japo sielewi hii morale ya kumsifia Membe kwa kasi huku mitandaoni mnaitoa wapi, naamini sio bure kuna cha ziada
Back
Top Bottom