Recent content by Faru12

  1. Faru12

    JamiiForums Tanzania Nawezaje jifunza kifaransa kwa haraka?

    Njoo PM, kama bado unauhitaji wakujifunza French.
  2. Faru12

    JamiiForums Tanzania Kwahili la Mabasi kusafiri Usiku, nampongeza Mbunge Tulia Ackson

    Kabla yayote, Magari yoteya Abiria na Malori yawekew speed lemit, kama wanavo fanya South Africa. Hapo sasa safari zausiku zinaweza ruhsiwa!
  3. Faru12

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Makipa Simba SC na wengine 8 wakamatwa na Dawa za Kulevya

    Alhaji mzima, ukarudi kwenye madawa tena? Kweli kazi na iendeleye!!
  4. Faru12

    JamiiForums Tanzania Nimeacha rasmi kuweka status WhatsApp kwa sababu hii

    Kwani WhatsApp wenyew wanasemaje??
  5. Faru12

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wakitizama wavuvi wanavyovuta ndege kwa kamba

    Wanajeshi wenye vitambi wanapatika Tz pekee.
  6. Faru12

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kubadili usajili wagari ndogo kutoka Burundi, to Tanzania

    Asante sana mkuu kwa mchango wako.nitalifanyiya kazi...
  7. Faru12

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kubadili usajili wagari ndogo kutoka Burundi, to Tanzania

    Asante sana mkuu kwamchango wako. Nimejifunza kitu.
  8. Faru12

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kubadili usajili wagari ndogo kutoka Burundi, to Tanzania

    Nissan WingRoad ya 2010 mkuu cc1500
  9. Faru12

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kubadilisha namba ya gari

    Garama zakuisajili upya inaweza ikifika kiasi gani mkuu? Kwa gari ndogo cc1500
  10. Faru12

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kubadili usajili wagari ndogo kutoka Burundi, to Tanzania

    Heshima kwenu wanajukwaa, naomba muongozo kwayeyote mwenye uelewa... Kuna gari ndogo cc1500 natarajia mwisho wamwezi huu itoke inchini burundi kuja hapa Tanzania, isajiliwe upya hapa Tz, sasa sijui wapi nianzie... Nilipenda kufaham ma2, 3... (1)garama za TRA. (2)pale Border kahama kipi...
  11. Faru12

    JamiiForums Tanzania Changamoto za kumiliki gari "unique"

    Mkuu hii gari napanga kuinunuwa mwisho wamwezi huu. Naomba unipe mawili matatu kuhusu hii gari tafathali.
  12. Faru12

    JamiiForums Tanzania Zifahamu hatua halisi za kutoa gari kwenye Meli na bandarini

    Asante mkuu kwa elimu nzuri sana... Mimi nilikuwa naswali, kuna gari ndogo nimenunua kutoka Rwanda... Sasa sijafaham kipi kitahitajika hadi gari kufika hapa Tz hadi kusajiliwa kwagari. Document zipi zitahitajika pinditu nafika border? Msaada wenu wakuu.
  13. Faru12

    JamiiForums Tanzania Ashikiliwa na jeshi la polisi kwa kumnajisi Mbuzi ( Meee )

    Ushirikina or matatizo ya akili vinahusika.
  14. Faru12

    JamiiForums Tanzania Dada wa kazi ya saluni ya kike

    Kama hujapata ni PM, nikuunganishe na mtu.
Back
Top Bottom