Recent content by farfat

  1. farfat

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Liverpool ni kama Simba tu😂
  2. farfat

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Mbona liver inacheza kama wapumbavu
  3. farfat

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hamna noma psg kazingua ila tupo Leo tena bila kuchoka
  4. farfat

    JamiiForums Tanzania Mwanamke huchepuka in between the lines, yaani zile namna zote ambazo unadhania mke wako anaweza chepuka wala hazitumii, anatumia njia ndani ya njia

    Nashukuru mungu sijawahi kuwa mchepuko wa mtu.. pia nashukuru sana sana sijawahi kutembea na mke wa mtu. Yote 9 kumi ni kama nitakukuta hapo jambo ni moja uondoke wewe unipishe.! ila kuwa mchepuko ni hapana...😂😂
  5. farfat

    JamiiForums Tanzania Tanzania tumelogwa na nani?

    Tumelogwa
  6. farfat

    JamiiForums Tanzania Tanzania tumelogwa na nani?

    Ok sawa
  7. farfat

    JamiiForums Tanzania Tanzania tumelogwa na nani?

    Nnchi bado Ina changamoto muhimu zaidi kama, Upatikanaji wa Maji Ubora wa miundo mbinu Elimu Huduma za afya Ajira Na utegemezi wa wakandarasi tunaolazimika kuwalipa pesa nyingi kwanini tusiweke vipaumbele hata ktk elimu za ufundi.. je kipaumbele chetu ni nini labda wewe unaelewa
  8. farfat

    JamiiForums Tanzania Tanzania tumelogwa na nani?

    Kwaiyo hujanielewa mkuu
  9. farfat

    JamiiForums Tanzania Tanzania tumelogwa na nani?

    Tunajifunza kupitia watu waliofanikiwa ama kufeli.. sisi tumejifunza Nini kwa watu walioandaa kombe la Dunia. Unaona USA na Canada wamevunja viwanja vilivyotumika. Utaona hata kimtazamo na kifikra hatupo sawa nayo.. mambo ya maviwanja waachie Simba na yanga, namungo na mtibwa vilivyopo chini ya...
  10. farfat

    JamiiForums Tanzania Tanzania tumelogwa na nani?

    Kwa sababu sisi watu weusi ni wajinga sana.. kulikuwa na haja gani ya maviwanja.. habari za viwanja achia Simba na yanga.. uwanja wa uhuru stadium,Benjamin stadium, CCM kirumba,jamhuri dodoma, lake tanganyika kigoma sijui kaitaba vyote vingetosha so how come wanatuletea usengerema alafu wanataka...
  11. farfat

    JamiiForums Tanzania Tanzania tumelogwa na nani?

    Inawezekana vipi uka host mashindano makubwa kiasi Cha AFCON wakati usafiri tu wa mwendo Kasi haujasimama ipasavyo.. je unataka wageni wakija wapande bodaboda🥺
  12. farfat

    JamiiForums Tanzania Tanzania tumelogwa na nani?

    Vipi kama pesa inayotengeneza viwanja iyo zingeelekezwa kwenye wizara ya afya. Tungesaidia watu wangapi. Fikilia watu wanaokwama hospital kwa kukosa kulipia huduma ambazo zimefanywa kuwa ngumu kwa maslahi ya watu.. au vipi kama tungeelekeza pesa izo kwenye wizara ya maji tungesaidia watanzania...
  13. farfat

    JamiiForums Tanzania Tanzania tumelogwa na nani?

    Kwanza kabisa, sitaki kuanza na wema, sababu huu wema tulionao ndio umepelekea mambo yanayoendelea sasa nchini. Nimejaribu kuwaza kwa kina na kutazama vipaumbele tulivyo navyo kama nchi, nimeishia kulia na kujawa hasira. Hivi aliye toa wazo la kuandaa mashindano ya AFCON hapa Tanzania alikuwa...
  14. farfat

    JamiiForums Tanzania Napinga mechi ya ngao ya jamii kupelekwa Zanzibar

    Kama hoja Yako ni hiyo. Kwanini timu zao zisishiriki ligi huku bara na ikawa ligi Moja.. najua haiwezekani kwaiyo tifutifu asipeleke ligi za bara zanzibar
  15. farfat

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Afcon 2027 kuota mbawa Tanzania, Rwanda kuchukua nafasi

    Ni sawa tu hakuna shida. Tufanye mambo mengine
Back
Top Bottom