Pole sana kwa Sativa.
Oh! My Tanzania, where are we going? Don't we see enough of bloodshed around us?.
Oh! Dear Mwalimu don't look at us from your heavenly Kingdom, for you will feel sorry for us.
Pongezi sana kwa Jeshi La Polisi kwa kufanikisha ukamataji huu. Naamini kwa wadhifa aliyekuwa nayo, connection na nguvu ya fedha ya mtuhumiwa, Polisi watakuwa wamepitia mtihani mkubwa sana.
Nashauri design ya Ujenzi wa daraja pia ulenge kuweka sehemu za recreational kama restaurant, cafe hata garden.
Kuna daraja Iran Tabiat Bridge imejengwa nchi kavu imepata tuzo nyingi kwa design yake kujumuisha recreational activities .
Huo wa kwetu eneo la bahari itakuwa na kuvutio kubwa sana...
Kwa mtazamo wangu hii, ni sabotage iliyowezeshwa na security lapse. Kwanza helicopta ya mwaka 1971 ziliendeshwa na spea za mitumba. Ya pili ni hali ya hewa kuwa mbaya. Kwa nini wakaruhusu safari iendelee?
Israel pia ina uhusiano mzuri na Azeri na wana kachero wengi sana pale.
Hizi ajali za...
Habari nzuri. Nauliza.
Ina Inventory Control option?
Data Security. Umesema data inakaa kwenye server zenu, mna security level gani?
Ikiwa mtu kafanikiwa kuingia server zenu, na data ya wateja kuvujishwa inakuwaje?
Kuweka data kwenu ni sawa na kuweka pesa benki. Je kuna mamlaka yoyote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.