Recent content by faraji 95

  1. faraji 95

    NECTA yatangaza matokeo ya Darasa la Saba 2019. Ufaulu waongezeka kwa asilimia 3.78

    Shule ya msingi Graiyaki ya mkoani Mara ndiyo shule bora kitaifa na wanafunzi wake watano wameingia kumi bora.
  2. faraji 95

    Mjadala: Nini chanzo na tiba ya tatizo la upele kuota kwenye uume?

    pole sana iyo issue yako ni viral kuna drugs ukitumia zitaleta matokeo mazuri plz nicheki 0624986177 nikusaidie.....
  3. faraji 95

    Hivi Madaktari hamna njia mbadala ya kupima njia ya uzazi ya mama mjamzito?

    Bro no way out hyo ndo njia inayotumika kupima ( cm ) ya cervix kama ipo tayar kupitisha mtoto au bado inaitwa PV ( per vaginal examination) huwa tuna tumiaga vidole 2 cha pili kutoka kidole gumba na kidole cha kati
  4. faraji 95

    Naombeni ushauri wa haraka. Mdogo wangu anasumbuliwa na ugojwa wa Lichen planus

    pole kaka Lichen planus ni autoimmune disease sizani kama ina dawa
  5. faraji 95

    Niulize swali lolote kuhusu magonjwa ya zinaa

    cha kuongezea kajaribu kucheki labda ni allergic condition kuna ndugu yangu aliugua fangasi za sehemu za siri takriban miaka 5 kumbe alikuwa na allerg ya nyama na samaki wa maji chumvi
  6. faraji 95

    Niulize swali lolote kuhusu magonjwa ya zinaa

    mimi nikigundua tu mtu ana HIV + hata kwa condom sifanyi ila ninacho kijua kwa kawaida binadamu huwa na CD4 kati ya 500 hadi 1500 ukikutwa na CD4 chini ya 200 itakuwa HIV+
  7. faraji 95

    Niulize swali lolote kuhusu magonjwa ya zinaa

    Unaweza kupima tena kwa manufaa yako na huo muwasho baada ya kuoga tumia hivyo vidonge nilivyokuambia
  8. faraji 95

    Niulize swali lolote kuhusu magonjwa ya zinaa

    Mkuu kwa hiyo case ya kwanza 1.unatumia sabuni ya aina moja kwenye kuoga au tofauti tofauti kama ni moja jaribu kubadili sabuni 2.kwamimi hiyo nahisi itakuwa ni ALLERGY jaribu kutumia CITRIZEN kidonge kimoja kwa siku tumia kwa siku 5 hadi 7 Kwa hiyo case ya pili 1.unampenzi mmoja au zaidi ya...
  9. faraji 95

    Niulize swali lolote kuhusu magonjwa ya zinaa

    Now days nakosa kabisa hamu ya kula inafika wakati naweza kulala bila ya kula hili litakuwa tatizo gani Doctor
  10. faraji 95

    Msaada,kwa mwanamke aliyeanza hedhi yake 08/02/2019

    Hapa hatuangalii tarehe tunaangalia siku zenye uwezekano wa kupata mimba kwa mtu mwenye mzunguko wa siku 28 zikuzake za kupata mimba ni kuanzia siku ya 11 hadi siku ya 17 tangu amepata hedhi ila siku ya 14 ndiyo siku muhimu kwasababu yai hutoka sehemu yake na kwenda katika mji wa mimba
  11. faraji 95

    Sikio kuuma

    ajaribu kutumia Cloxacillin tabs
  12. faraji 95

    Mimba ya wiki 36-37

    kwa mimba ya kawaida ni wiki 36 hadi wiki 40 kwahiyo hamna shida hapo mtoto atakuwa na afya nzur tu
Back
Top Bottom