Msaada,kwa mwanamke aliyeanza hedhi yake 08/02/2019


Tunguja

Tunguja

Senior Member
Joined
Feb 15, 2018
Messages
163
Likes
79
Points
45
Tunguja

Tunguja

Senior Member
Joined Feb 15, 2018
163 79 45
Je siku zake za kupata mimba ni kuanzia tarehe ipi?mzunguko wake ni siku 28 na humaliza siku zake kila baada ya siku 3-4.
Nimejaribu kupekua kwenye app tofauti tofauti naona wananichanganya tu nikaona nije kwenu,msaada tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
GIPAMA

GIPAMA

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2016
Messages
1,040
Likes
481
Points
180
GIPAMA

GIPAMA

JF-Expert Member
Joined May 21, 2016
1,040 481 180
Fanya tarehe21 usiku. Ina uhakka zaidi.
 
immasakha

immasakha

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Messages
490
Likes
273
Points
80
Age
30
immasakha

immasakha

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2016
490 273 80
Kwa mzunguko wa 28 hapo ni 13,14,15 siku hz tatu 14 ndio costant, ili kuondoa wasi wasi fanya siku hz 3 mfululizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
faraji 95

faraji 95

Member
Joined
Feb 17, 2019
Messages
7
Likes
2
Points
5
faraji 95

faraji 95

Member
Joined Feb 17, 2019
7 2 5
Je siku zake za kupata mimba ni kuanzia tarehe ipi?mzunguko wake ni siku 28 na humaliza siku zake kila baada ya siku 3-4.
Nimejaribu kupekua kwenye app tofauti tofauti naona wananichanganya tu nikaona nije kwenu,msaada tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa hatuangalii tarehe tunaangalia siku zenye uwezekano wa kupata mimba kwa mtu mwenye mzunguko wa siku 28 zikuzake za kupata mimba ni kuanzia siku ya 11 hadi siku ya 17 tangu amepata hedhi ila siku ya 14 ndiyo siku muhimu kwasababu yai hutoka sehemu yake na kwenda katika mji wa mimba
 

Forum statistics

Threads 1,262,389
Members 485,568
Posts 30,121,769