Recent content by farajamlenga

  1. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania kitu gani kilichokutokea 2017 ambacho hutokisahau?

    Asante ndugu yangu
  2. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania kitu gani kilichokutokea 2017 ambacho hutokisahau?

    Mambo makubwa ambayo sitasau mwaka huu 9/3/2017 saa 12 asubuhi siku aliyofariki mume Wangu kwaajali ya gari, kifo hiki kimefanya maisha yangu kubadilika na kujikuta sina thamani tena, Pia sita sahau tar 30/9/2017 siku ya jumamosi saa 12 asubuhi, siku niliyojifungua mtoto Wangu wa kike...
  3. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FAMILIA: Watoto kutokupenda wazazi wao vile vile na ndugu

    Ulaji gani mmi nitautafuta kwa mtoa mada? Najua jamii forum kwaajili ya kusaidiana na sijamlazimisha hivyo anauhuru wa kuacha pia, Mimi nilikuwa na tatizo nikaandika Uzi hapa hapa na akanisaidia kwa kunifanyia ushauri ndio maana nikampa hiyo namba amtafute kama atahitaji, sikutoa chochote pia...
  4. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FAMILIA: Watoto kutokupenda wazazi wao vile vile na ndugu

    Mtafute mwenyewe hii namba atakusaidia 0714769777, niliwahi kupata tatizo linaloendana na hilo alinisaidia una tatizo la saikolojia
  5. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Single fathers and mothers njooni tujenge familia

    Naona halijaundwa
  6. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Single fathers and mothers njooni tujenge familia

    Asante kwa kunitia moyo, hope nayeye ananiombea Mimi na mtoto huko aliko japo aliondoka duniani kabla mtoto hajazaliwa nami namuombea apumzike kwa amani huko aliko
  7. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Single fathers and mothers njooni tujenge familia

    Unafanyaje kujiunga?
  8. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Single fathers and mothers njooni tujenge familia

    Kwakuwa sikupenda iwe hivyo na sikuwahi hata fikiri kuwa ipo siku nitakuja kuwa single mumy, lakini ndo hivo hakuna namna
  9. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Single fathers and mothers njooni tujenge familia

    Mmmm!!! To be honest am single mum but not proud
  10. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke HIV + anaitajika

    Kama kweli ni HIV+ basi hivyo vigezo umeweka vingi mno
  11. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuoa

    Ana sh ngapi? Yaani nimecheka hadi mwanangu kaamka mwee
  12. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbinu za kupima level ya uelewa na utashi wa mwanamke

    Nimewaza, nimewaza, nimewaza halafu nikawaza nikawaza nikawaza........,,,.,,,..,.........,........, ndipo nikagundua kumbe napoteza muda Wangu kwakuwa mleta mada ni pupumbu tu, nawatu hivi hapa jf nao ni pupumbu tu kwanamna walivyo koment kwenye huu uzi
  13. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mizinga ni Janga la Mapenzi!

    Tabia mbaya kuwatukana wanawake wote kwa kosa la mwanamke mmoja
  14. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mizinga ni Janga la Mapenzi!

    Mkiombwa pesa mnawapa wenyewe halafu mnakuja kuwatukana jamii forum
Back
Top Bottom