Recent content by farajamilele

  1. F

    Biashara zangu zimegeuzwa kuwa za ukoo

    Wa Hongera kwa mafanikio. Watu wanachuma matunda kwenye mti wenye matunda. Kwa hiyo watu kuja kuhitaji msaada kwako si jambo baya. Kikubwa hapa ni kuwa na utaratibu, kuwa na kiasi. Kwa ushauri, waambie wakiwa na shida wakuone moja kwa moja wewe. Hii itakupa nafasi ya kufanya maamuzi ya...
  2. F

    Msaada jinsi ya kuongeza "confidence"

    Nadhani kusudio halisi la dini watu hawalifahamu sawa sawa. Pata neno jipya kwamba tunamwabudu Mungu kwa ajili ya afya njema. Afya njema ni pamoja na kujiamini. Tumia hekima ya Mungu kutatua tatizo lako kwa kujifunza neno lake na kufanya ibada. Tatizo hilo litakwesha.
  3. F

    Naomba ushauri kuhusu leseni ya biashara

    Ongea na Afisa Biahara au msaidizi wake akwambie utaratibu wa kufuta hilo deni. Ukishasajiwa kama mlipa ada ya leseni ya biashara na bili ikaandaliwa, kila mwaka deni linaongozeka. Ni jukumu lako kutoa taarifa kama biashara haiendelei ili ufutwe kwenye mfumo wao upande wa ada hiyo ya leseni...
  4. F

    Nashtuka sana nikipigiwa simu.

    Pepo hilo la hofu, mpe Yesu maisha yako utaona wokovu wake.
  5. F

    Hali ya kuogopa kisichokuwepo inanitesa. Ni mimi tu ama tupo wengi

    Ni shida ya kutofahamu ukweli, haya mambo yanayozungumzwa humu ni shida ya kiroho, na Mponyaji wa kiroho ni Mungu kupitia neno lake, mtume Paul anaandika kuhusiana na uponyaji wa kiroho anataja tunda la roho kwa wale ambao wameshinda vita vya kiroho (Wagalatia 5:22-23). Uponyaji upo, ni Mungu...
  6. F

    Hali ya kuogopa kisichokuwepo inanitesa. Ni mimi tu ama tupo wengi

    Ni shida ya kutofahamu ukweli, haya mambo yanayozungumzwa humu ni shida ya kiroho, na Mponyaji wa kiroho ni Mungu kupitia neno lake, mtume Paul anaandika kuhusiana na uponyaji wa kiroho anataja tunda la roho kwa wale ambao wameshinda vita vya kiroho (Wagalatia 5:22-23). Uponyaji upo, ni Mungu...
  7. F

    Unajuaje kuwa una akili au huna?

    Kipimo cha afya yako ya akili ni tunda la roho. Muda wote ukiwa na tunda la roho basi una afya njema. Wagalatia 5:22-23 Neno: Bibilia Takatifu (SNT) 22 Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumili vu, wema, fadhili, uaminifu, 23 upole, kiasi. Hakuna sheria inayopinga mambo kama haya.
  8. F

    Msaada matumizi ya switch socket ya aina hii

    Kweli hili ni jukwaa la habari mchanganyiko.
  9. F

    Nakosa amani kila uingiapo usiku

    Unayoongea ni changamoto zinawapata watu wengi kwa sababu ya kutoijua kweli. wewe unazungumzia tatizo la 'mood', 'mood' nzuri ni zawadi kutoka kwa Mungu (tunda la Roho Mtakatifu) kwa hiyo hauna ujanja kama unataka maisha ya amani, furaha na upendo lazima umsujudie Mungu. Usione haya maneno: Kwa...
  10. F

    Natamani kumpa Amber Rutty msaada wa kisheria lakini nahofia nitaonekanaje

    Kwa kawaida, binadamu ni mgonjwa wa akili (Mtenda dhambi ni mtumwa wa dhambi) mpaka hapo Bwana Yesu (Mwana akikuweka huru unakuwa huru kweli kweli) atakapomuokoa. Ni vyema wachungaji wakafanye huduma ya uokozi.
  11. F

    Kwanini biashara ya mabasi au malori haiwekaniki Tanzani

    Ili tuendelee, lazima tufanye tohara ya moyo na kutembea katika hali hiyo ya usafi. Mioyo michafu huwa ndivyo inaendesha maisha yake hivyo. Tuamue leo tutahiri mioyo yetu na tutembee katika hali hiyo ya usafi na tutaona maendeleo makubwa ya nchi.
  12. F

    Miaka 35 huna familia, gari, nyumba wala mashamba... Unategemea miujiza gani kutoka Mbinguni?

    Kuna mtu anaanza kuwa mkurugenzi akiwa na umri wa miaka 18, mwingine, 30, mwingine 48, mwingine 55 mwingine 63. Kuna mwingine anakufa akiwa na miaka 2, mwingine 28, mwingine 33, mwingine 72, mwingine 106. Kila mtu ana wakati wake, na wakati wa Bwana ni bora zaidi. Tunapaswa kupambana ila kila...
  13. F

    Miaka 35 huna familia, gari, nyumba wala mashamba... Unategemea miujiza gani kutoka Mbinguni?

    Waaeleze, kila jambo lina wakati wake, na wakati wa Bwana ni bora zaidi.
  14. F

    Ushauri; Nifanye kitu gani ili kuipatia nchi yangu heshima!?

    Mwabudu Mungu, ukitakasika atakufunulia kusudi lake la wewe kuwa hapa ulimwenguni. Kupitia hilo kusudi la Mungu, utalifanyia taifa jambo kubwa na kuliletea taifa sifa kedekede.
Back
Top Bottom