Unayoongea ni changamoto zinawapata watu wengi kwa sababu ya kutoijua kweli. wewe unazungumzia tatizo la 'mood', 'mood' nzuri ni zawadi kutoka kwa Mungu (tunda la Roho Mtakatifu) kwa hiyo hauna ujanja kama unataka maisha ya amani, furaha na upendo lazima umsujudie Mungu. Usione haya maneno: Kwa MUNGU, kila goti litapigwa, Kwa Bwana Yesu, kila goti litapigwa, usione wenzako wanakesha makanisani ni kwa ajili, pamoja na mambo mengine, ya utakaso na kupata zawadi hii kubwa ya BWANA Mungu Mwenyezi. Fanya tu maamuzi ya kugeuka na kumsujudia Bwana Yesu nawe utaona wokovu wake.Wanajamvi Habari Za Jioni, Bila Shaka Ni Wazima na Bukheri Wa Afya, Naombeni Nishee Nanyi Hili Jambo huenda Nikapata Ufumbuzi, Sababu Naamini humu kuna Watu Wenye Ufahamu wa Kila Aina, Kadri Siku Zinavyoenda Naona Tatizo Linazidi Kuwa Kubwa, Nimekuwa na Hofu Mno Hasa Ukiingia Usiku Wa Kiza, Yaani Moyo Unaenda Mbio Bila Sababu, Usingizi Unakata Kabisa, Nikisema Kausingizi Kanipitie tu, Ndio Nitaota Vitu Vya Ajabu Hadi Nashtuka Usingizini, Natamani Muelewe Hii Hali Ninayopitia, Imefika Pahala Nashinda Ma Club Mradi Nirudi Nyumbani Asubuhi, Nayo Nimeona Sio Solution Zaidi Ya Kufuja tu Pesa, Kwa Wenye Experience mwaweza Nisaidia Hii Hali Inatokana Na Nini Na Nifanye Nini iondoke? Please! Over Please! Nahitaji Msaada, Ni Kweli Na Wala Sio Hadithi Ya Kutunga , Mungu Awabariki na Kuwalinda.
Ahsanteni Sana!
Unayoongea ni changamoto zinawapata watu wengi kwa sababu ya kutoijua kweli. wewe unazungumzia tatizo la 'mood', 'mood' nzuri ni zawadi kutoka kwa Mungu (tunda la Roho Mtakatifu) kwa hiyo hauna ujanja kama unataka maisha ya amani, furaha na upendo lazima umsujudie Mungu. Usione haya maneno: Kwa MUNGU, kila goti litapigwa, Kwa Bwana Yesu, kila goti litapigwa, usione wenzako wanakesha makanisani ni kwa ajili, pamoja na mambo mengine, ya utakaso na kupata zawadi hii kubwa ya BWANA Mungu Mwenyezi. Fanya tu maamuzi ya kugeuka na kumsujudia Bwana Yesu nawe utaona wokovu wake.
Naomba Nisaidiwe Hatua Gani Ndugu? Yawezekana, Mi Ni Binaadam Pia
Duh asee.Hakuna njia ya moja kwa moja.
Ila tukiweza kujua kipindi linaanza ilikuaje, muda gani hali inakujia, na inakuzidia kuda gani tunaweza kupunguza tatizo kwa njia ya kuongea. Likiwa kubwa kuna vidonge.
Ila kwa elimu yangu ndogo naona hizo ni dalili za kua schizophrenic. Hii hali ikizid unaweza kua chizi.
Umewahi kuuangalia moto unaowaka mfano wa kwenye jiko la gesi? Ukiutazama unatengeneza image zozote kichwani?Duh asee.
Sijui lilianzahe but kna sauti inakua km mshauri wako kchwani kila mda,kna kipindi inakua km mshkaji wako yaan mnapga story mpka kukumbushia vya nyuma hadi unaweza ukacheka kwa sauti mtu akauliza vp,ukajbu mmekumbuka kitu tu
Sijawahi,ngoja nijaribu hii kituUmewahi kuuangalia moto unaowaka mfano wa kwenye jiko la gesi? Ukiutazama unatengeneza image zozote kichwani?
Hapana. Nilifikiri pia umeanza kuunda hata mionekani ya hao imaginary friends.Sijawahi,ngoja nijaribu hii kitu
Mtaalamu wa mambo ya kirohoMshana ndo nani
Duuh,watu mnajua ku-analyze mambo na kutafuta njia sahihi za kusolve tatizo.Hongera mkuu.Nafikiri tunatakiwa kutrace kipindi ambacho tatizo lilianza.
Siku zipi linazidi?
Muda gani linazidi?
Unaota ndoto za aina gani?
Wakati uko mtoto umewahi kua na phobia yoyote?
Una mahusiano yaliyovunjika wakati hili swala linaanza?
Mahusiano yako na marafiki na jamii yapoje?
Una hallucinations zozote?
Umeunda marafiki wa kufikirika?
Mahusiano yako na jamii unayaonaje?
Mimi ni mtumishi wa sina amani mwisho WA mweziunapokaribra rWanajamvi Habari Za Jioni, Bila Shaka Ni Wazima na Bukheri Wa Afya, Naombeni Nishee Nanyi Hili Jambo huenda Nikapata Ufumbuzi, Sababu Naamini humu kuna Watu Wenye Ufahamu wa Kila Aina, Kadri Siku Zinavyoenda Naona Tatizo Linazidi Kuwa Kubwa, Nimekuwa na Hofu Mno Hasa Ukiingia Usiku Wa Kiza, Yaani Moyo Unaenda Mbio Bila Sababu, Usingizi Unakata Kabisa, Nikisema Kausingizi Kanipitie tu, Ndio Nitaota Vitu Vya Ajabu Hadi Nashtuka Usingizini, Natamani Muelewe Hii Hali Ninayopitia, Imefika Pahala Nashinda Ma Club Mradi Nirudi Nyumbani Asubuhi, Nayo Nimeona Sio Solution Zaidi Ya Kufuja tu Pesa, Kwa Wenye Experience mwaweza Nisaidia Hii Hali Inatokana Na Nini Na Nifanye Nini iondoke? Please! Over Please! Nahitaji Msaada, Ni Kweli Na Wala Sio Hadithi Ya Kutunga , Mungu Awabariki na Kuwalinda.
Ahsanteni Sana!
Yaweza kuwa in libido ama vinginevyo na Mimi usingizi unanisumbuaga sanaWanajamvi Habari Za Jioni, Bila Shaka Ni Wazima na Bukheri Wa Afya, Naombeni Nishee Nanyi Hili Jambo huenda Nikapata Ufumbuzi, Sababu Naamini humu kuna Watu Wenye Ufahamu wa Kila Aina, Kadri Siku Zinavyoenda Naona Tatizo Linazidi Kuwa Kubwa, Nimekuwa na Hofu Mno Hasa Ukiingia Usiku Wa Kiza, Yaani Moyo Unaenda Mbio Bila Sababu, Usingizi Unakata Kabisa, Nikisema Kausingizi Kanipitie tu, Ndio Nitaota Vitu Vya Ajabu Hadi Nashtuka Usingizini, Natamani Muelewe Hii Hali Ninayopitia, Imefika Pahala Nashinda Ma Club Mradi Nirudi Nyumbani Asubuhi, Nayo Nimeona Sio Solution Zaidi Ya Kufuja tu Pesa, Kwa Wenye Experience mwaweza Nisaidia Hii Hali Inatokana Na Nini Na Nifanye Nini iondoke? Please! Over Please! Nahitaji Msaada, Ni Kweli Na Wala Sio Hadithi Ya Kutunga , Mungu Awabariki na Kuwalinda.
Ahsanteni Sana!
Jitahidi kusali kwa kumaanishaWanajamvi Habari Za Jioni, Bila Shaka Ni Wazima na Bukheri Wa Afya, Naombeni Nishee Nanyi Hili Jambo huenda Nikapata Ufumbuzi, Sababu Naamini humu kuna Watu Wenye Ufahamu wa Kila Aina, Kadri Siku Zinavyoenda Naona Tatizo Linazidi Kuwa Kubwa, Nimekuwa na Hofu Mno Hasa Ukiingia Usiku Wa Kiza, Yaani Moyo Unaenda Mbio Bila Sababu, Usingizi Unakata Kabisa, Nikisema Kausingizi Kanipitie tu, Ndio Nitaota Vitu Vya Ajabu Hadi Nashtuka Usingizini, Natamani Muelewe Hii Hali Ninayopitia, Imefika Pahala Nashinda Ma Club Mradi Nirudi Nyumbani Asubuhi, Nayo Nimeona Sio Solution Zaidi Ya Kufuja tu Pesa, Kwa Wenye Experience mwaweza Nisaidia Hii Hali Inatokana Na Nini Na Nifanye Nini iondoke? Please! Over Please! Nahitaji Msaada, Ni Kweli Na Wala Sio Hadithi Ya Kutunga , Mungu Awabariki na Kuwalinda.
Ahsanteni Sana!