Recent content by farai

  1. F

    Walimu tunaishtaki CWT Mahakamani. Mwisho wa uonevu ni sasa

    Ndio wanavyofanya ukiajiriwa tu unaanza kukatwa ada ya uanachama,kitu ambacho ni uvunjaji wa haki za binadamu!
  2. F

    Walimu tunaishtaki CWT Mahakamani. Mwisho wa uonevu ni sasa

    Ninani mwenye ubavu kama sisi hatuna?,,hiyo inferiority complex,,kwenda mahakamani hakuhitaji miguvu ya kubeba magunia,ni akili tu!!
  3. F

    Walimu tunaishtaki CWT Mahakamani. Mwisho wa uonevu ni sasa

    Tatizo ni nini kwani?,Tanzania hakuna ata uhuru wakwenda mahakamani?
  4. F

    Walimu tunaishtaki CWT Mahakamani. Mwisho wa uonevu ni sasa

    MKAKATI WA KUIN'GOA CWT KISHERIA NA KUWARUDISHIA WALIMU PESA ZAO WALIZOIBIWA NA CWT PAMOJA NA FIDIA Nimepitia mijadala mingi na malalamiko mengi ya WALIMU dhidi ya CWT,Hotuba ya Rais Magufuli na Mkuu wa Wilaya wa Hai dhidi ya madudu ya CWT Nashauri,CWT wanamengi ya kutujibu Walimu kwa KUTUMIA...
  5. F

    NIFANYE NINI ILI CWT WASIENDELEE KUNIKATA?

    I INASIKITISHA SANA KUONA WATU WANAJIBU KIENYEJI SWALA LA KISHERIA KWENYE FORUM YA WANASHERIA.. Mwalimu husitishwe na waoga wasiojua sheria..Kiujumla walimu wote wanaibiwa sababu CWT haiko kisheria ni genge batili LA wezi..Iwapo unakatwa pesa yoyote kinyume na taratibu za kisheria huo ni...
  6. F

    Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

    habari mheshimiwa...hivi naweza kupata nakala ya hukumu ya kesi ya kasusura na ile ya zombe?
  7. F

    Zombe aachiwa huru, Mshirika wake ahukumiwa kunyongwa hadi kufa

    hi...habari...naweza kupata namba yako?yangu ni 0655895577
Back
Top Bottom