Recent content by FARAGY NYANGERO

  1. F

    Intelligensia juu ya Mabomu ya Arusha

    Suala la milipuko ya mabomu Tanzania hasa Arusha na Zanzibar, kuna 0.87 probability wameungana Serikali ya Rwanda na Kenya, na Uganda ikiwezekana Uganda imeshirikishwa, 0.13 tunawaachia vyombo vya usalama vifanye kazi yake na kupata majibu. 0.87 uhalisia wake ni huu Kama ilivyoelezwa na...
  2. F

    Urais 2015: January Makamba moto wa kuotea mbali

    January M anafaa kutuhudumia kama raisi, sababu ni muelewa wa mambo halisi yanayowakabili watanzania, pili si mpenda makuu, tatu msikivu na mwenye kufanyia kazi matatizo ya watu kwa haraka na moyo mweupe
  3. F

    Mokiwa: Hatutaongozwa na wanyoa vipara

    Huyo Mokiwa kama dini imemshinda atafute kazi zingine, unga/kipala ni personality ya mtu Jacob Zuma ananyoa hivyo lakini ni raisi, Raisi wa North korea ana style yake yakunyoa(Pank kwa huku kwetu) lakini ni raisi anayeheshimiwa na kukubalika vizuri katika nchi yake, Mokiwa iyo si hoja ya...
  4. F

    Urais 2015: January Makamba moto wa kuotea mbali

    Inavutia sana, binafsi namfaham January kama mtu asiyependa makuu, mtu makini na rahisi sana kusikiliza matatizo ya watu na akayafanyia kazi, Nilikuwa namuona kwenye vyombo vya habari tu lakini nilipata fursa ya kusoma Udom ambapo aJanuary m alipata fursa mara kadhaa kuwa na kuja pale...
  5. F

    Wafanyakazi TRA wanahujumu mapato

    Umeongea jambo la muhimu sana, ila baada ya kukukatalia ungeomba kukutana na TRA Regional mangaer au ungeuliza reception nani yuko top ya mama Kessy kimadaraka uonane naye na umuelezee suala lako kama iliwezekana Singida kwanini hapo ishindikane na TRA system wanayotumia ni ileile!
  6. F

    Nipo tayari kutoa ama kupoteza rasilimali zangu kuhakikisha Lowassa anaingia ikulu 2015

    Nchi hii inahitaji watu wenye maadili mema, hekima, busara, na wenye uchungu na mali za umma. Watanzania hatuwezi kumpa nchi hii Lowassa fisadi na mwizi wa mali za umma. Watanzania tunajitambua muda ukifika tutamchagua mtu anayetufaa na tanayemtaka. Hatuna haja na hayo makundi yenu yasiyo na msingi!
  7. F

    Nimeitwa oral BOT

    post gan BOT
  8. F

    Masharti ya ajira utumishi wa UMMA

    katibu mkuu aliingiaje bungeni, kwani anaruhusiwa kuingia kwenye vikao vya bunge?
Back
Top Bottom